Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

Afrika tumejaliwa wanyama wengi sana wa asili na mazingira yao mapori na misitu mkubwa lakini kwanini Mpaka sasa tiger hawapatikani Afrika wanatokea ASIA pekee sababu ni nini na hata kama wangekuwa asili yao sio Afrika, Je kwanini hawajaletwa huku mbona sisi tunawapelekea twiga na faru huko kwao.

Ni kwa sababu Nyumbu hawapatikani Ulaya.
 
Mhm Africa hakuna mkuu.
wapo sana sema tunawaua sana hao

ujinga wa kangaroo wanazalia sana isivyokawaida, angalia australia utaniambia

mazingira ya vijijini kwetu huko serengeti walikuwepo wakageuzwa vitoweo wakapotea
 
Tigers wanapenda kuishi maeneo yenye misitu minene tofauti na chui ambao wanapendelea kuishi maeneo ya savana zaidi tofauti na Tigers.

Tigers ni wakubwa na wanawinda wanyama wakubwa tofauti na chui na wana nguvu zaidi ya chui japo sio hodari sana kuwinda kama chui alivyo .
Tiger kwa kiswahili ni nini?? Na chui Kwa kingereza ni nini??
 
wapo sana sema tunawaua sana hao

ujinga wa kangaroo wanazalia sana isivyokawaida, angalia australia utaniambia

mazingira ya vijijini kwetu huko serengeti walikuwepo wakageuzwa vitoweo wakapotea
Wewe una semea springhaas na sio kangaroo ,wanafanana na kangaroo kabisa sema hawana vifuko vya watoto.
 
Back
Top Bottom