demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Wadau za Jioni.
Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba Makolokolo FC.
Barbara Gonzalenz amekuwa hatulii kabisa siku hizi. Kila wiki ninakutana nae pale Julius Nyerere International Airport.
Nikajaribu kudumbukiza ndoano kwenye ofisi ya Kanjibai yenye makalablasha ya Klabu.
Iko hivi.
Wametuma maombi Al Alhy waarabu wakachomoa. Wakasema wachezaji wao wako kwenye likizo fupi.
Wakatuma maombi Mamelodi Sundown wakaambiwa kuwa sisi tume focus na PSL.
Wakatuma maombi Orlando Pirates F.C wakaambiwa kuwa sisi tuko na ligi inaendelea.
Wakarudi Congo kuwaalika TP Mazembe wakaambiwa mbona mnapenda kutualika sisi tu.
Wakarudi juu kaskazini, Zamalek wakaambiwa kuwa sisi ndio kwanza tumeanza mazoezi wiki hii kwa hiyo hatutoweza kuja Dar.
Muda huu wamepanick wako na mawasiliano na nchi mbili kwa wakati mmoja yaani Tunisia na Morrocco.
Tunisia - Esperance De Tunis.
Morroco - Wydad/Raja Casablanca.
Nasikia wakigonga mwamba na hapo huenda wakatuletea Wa-Afrika wenzetu eti. 😂 😂