Kufariki kawaida ndio kukojeUsilete taharuki; amefariki kawaida, RIP waziri
Ndo nani huyo?Ba-orange nae ajiandae, m1 baada ya mwingine watafikiwa.
Na ameshaanza kujiliza liza huko FB.
watavuna walichopanda. Lol
Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe!
Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya familia na wanawashtukieni haraka 🙄 mambo ya kizamani haya!.
Mi niliwaambia hiki kifo cha Jenista siyo kabisa! Ndo muelewe kwa sasa moto huko ndani ni mbaya kuliko nje!
Kila mwananchi aelewe Muuaji Mkuu ameshaonja damu nyingi za watu na hajatosheka! Ni wajibu wa kila mtu sasa kupinga na kupambana na huu uovu!
View attachment 3514566
Wee humjui? Mvamizi kutoka ng'ambo akapewa kitengo kikuu cha ndani.??Ndo nani huyo?
Akifariki kawaida familia hairusiwi kufanya uchunguzi huru wa kifo cha mpendwa wao?Usilete taharuki; amefariki kawaida, RIP waziri
Ba- orangeNamsikitikia Sana Bashungwa, jamaa anafikiri mfumo utamlinda, he is next, anytime anakuwa terminated....Badala ya KUKOMBOA nchi aende US huko COLUMBIA yeye bado tu yupo kama ZEZETA.
autopsy itasema sioUsilete taharuki; amefariki kawaida, RIP waziri
Afu jimbo aniachie mimiNamsikitikia Sana Bashungwa, jamaa anafikiri mfumo utamlinda, he is next, anytime anakuwa terminated....Badala ya KUKOMBOA nchi aende US huko COLUMBIA yeye bado tu yupo kama ZEZETA.
Anasubir msimu wa senene uisheNamsikitikia Sana Bashungwa, jamaa anafikiri mfumo utamlinda, he is next, anytime anakuwa terminated....Badala ya KUKOMBOA nchi aende US huko COLUMBIA yeye bado tu yupo kama ZEZETA.
Mkuu, ng'ombe wake kule Bk amwachie nani?Namsikitikia Sana Bashungwa, jamaa anafikiri mfumo utamlinda, he is next, anytime anakuwa terminated....Badala ya KUKOMBOA nchi aende US huko COLUMBIA yeye bado tu yupo kama ZEZETA.
Ni kufariki baada ya kulambishwa "unga unga"Kufariki kawaida ndio kukoje