Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe!
Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya familia na wanawashtukieni haraka đŸ™„ mambo ya kizamani haya!.

Mi niliwaambia hiki kifo cha Jenista siyo kabisa! Ndo muelewe kwa sasa moto huko ndani ni mbaya kuliko nje!
Kila mwananchi aelewe Muuaji Mkuu ameshaonja damu nyingi za watu na hajatosheka! Ni wajibu wa kila mtu sasa kupinga na kupambana na huu uovu!

View attachment 3514566
Yana uwana yenyewe kwa yenyewe
 
Huwa ninaumia sana kuona jinsi taasisi hizi zilivyoharibiwa mpaka kufikia hatua ya kutumika kulinda usalama na maslahi ya kikundi kidogo cha watu binafsi na wakati huo zikijiendesha kwa pesa za walipa kodi.

Huwa najiuliza sana imekuwaje mpaka zikafika hapa kiasi cha kutengeneza uadui na mamilioni ya raia kwa ajili ya kuwalinda watu wachache.
Tamaa ndugu yangu, hawataki ufisadi wao uingiliwe, hawataki madaraka yao na control waliyonayo kwa Watanganyika vitetereshwe. Hapa wameshagundua VP kuna ujinga mwingi ambao hakubaliani nao ndiyo maana kawekewa ‘guard’ anayecheki kila step yake, utata wa kifo cha Jiwe umesababisha President na VP wawe wanaliana timing katika kila moves na kinachomsaidia VP naye ana watu ndani wanaom-brief zile nyeti za ndani.
Kuna vurugu-mechi humo ndani tuombee(sisi watu wa nje) iwe kweli ili tufungue champagne kwa nderemo.
 
Ba-orange nae ajiandae, m1 baada ya mwingine watafikiwa.
Na ameshaanza kujiliza liza huko FB.
watavuna walichopanda. Lol
Naye aliachwa nje ya uwaziri FEKI?
Haya matakataka yote yasubiri kuwajibishwa tu kwa uovu yaliyowafanyia waTanzania.
 
Toa ufafanuzi haina future vp?
Kwahiyo level ya mafanikio aliyokuwa kafika Jenister unaichukuliaje yaani?!!
Unataka future after life ama una maana gani yani?
Unapima mafanikio kwa kuwa na ukwasi pekee, ?
Uchumi wa Hawa mara nyingi sio endelevyu(not Industrial).
Malima kama sio kupewa u rac basi angekuwa na Hali mbaya , angalia macha .

Lakini Kuna mambo huwa wameyafanya , Yana wanyima furaha ya maisha , na kuishi kwa sonona ,huzuni.

Yan unaishi kwenye hekalu , ukifunga domo unakisubiria kifo kikukute,
 
Nakumbuka mwaka 1976 dikteta Idi Amin alipowaua kwa kuwapiga risasi Askofu Janan Luwum wa kanisa la Anglikana nchini Uganda na mawaziri Charles Oboth Ofumbi na Erinayo Oryema alipiga marufuku wasifanye (Postmortem) akidai kwamba walikua wamekufa kwenye ajali ya gari.

Baadaye kwenye mazishi yao walizikwa chini ya ulinzi mkali wa kijeshi na miili haikuweza kufunuliwa.

Watawala wa kiafrika hawatofautiani sana.
 
hata sisi hatujawahi kusikia mashehe wakituomba radhi kwa muslims arabs na irani kutuuza utumwa pamoja biashara ya pembe za ndovu ambapo tulibebeshwa mzigo kwa mguu ktk kgm mpaka pwani kufwata caravan.

Christians hawakuuza binadamu hapa kwetu ila muslims waliuza muslims weusi mpaka miaka 1910, mbona mashehe hawajawahi kuwaombea radhi kwetu? …
Nilitaka kujibu hivi sema yangu ilikuwa kali zaidi ya hii
 
Tamaa ndugu yangu, hawataki ufisadi wao uingiliwe, hawataki madaraka yao na control waliyonayo kwa Watanganyika vitetereshwe. Hapa wameshagundua VP kuna ujinga mwingi ambao hakubaliani nao ndiyo maana kawekewa ‘guard’ anayecheki kila step yake, utata wa kifo cha Jiwe umesababisha President na VP wawe wanaliana timing katika kila moves na kinachomsaidia VP naye ana watu ndani wanaom-brief zile nyeti za ndani.
Kuna vurugu-mechi humo ndani tuombee(sisi watu wa nje) iwe kweli ili tufungue champagne kwa nderemo.
Inaumiza sana kwakweli kuona vyombo ambavyo vilipaswa kuogopwa na hao viongozi majizi kwa sababu ya kulinda ustawi wa taifa, sasa hivi ndio vinatumika kama ngao ya kuwalinda hao majizi yaendelee kufanya uchafu wao, yaan mpaka wamefikia hatua ya kugawana kabisa kwamba "hawa wako loyal kwangu, hawa ni wa upande ule"... halafu bado tunasema eti tuna usalama wa taifa? Ovyo sana.

Niliwahi kusoma mahali kuwa FBI ndio walikuwa mstari wa mbele kum expose raisi Richard Nixon alipotaka kuficha ushaidi wa Watergate scandal na hatimae kujiuzulu baada ya kila kitu kuwa adharani and just to remind you FBI director ni appointee wa raisi.

....hivi hawa wajinga wanaojiita makachero wabobezi wa hapa kwetu kuna siku watakuja kuanika uchafu wote unaofanywa na viongozi ambao umeligharimu taifa? Yaan mfano mtu kma Mombo aje awekee adharani ukweli wote kuhusu mauaji yaliyofanywa na samia kwenye MO29 ikiwemo kutaja sehemu zote walipofanyia mass graves? Natamani sana.

Hilo la VP kuwekwa under high surveillance nililiskia kwa dada wa taifa tangu kipindi cha kampeni, kuwa kimama hana imani na mgombea mwenza maana alikuwa chaguo lake, sikutaka kuamini kwa wakati ila kwa hali inayoendelea sasa ninaamini kwa 100% kuwa hawa watu wanaishi kwa kuliana timing.

Halafu VP ni zao la hao hao makachero wa wabobezi(kma wanavyojiita) a.k.a Tiss japo kwangu mimi nawaita wapumbavu, hivyo itakuwa ni ngumu sana Bi chura kumzidi kete....

....ila yote kwa yote acha tu wakorogane huko hatimae wamalizane kabisa kisha si tufungue mvinyo, maana ukoo wa wachawi mwisho wake haujawahi kuwa mzuri hata siku moja, ni lazima wageuzane vitoweo.
 
huwa hakuna kitu kama taasisi, tanzagiza mnadanganywa sana, kila kitu kinategemea na raisi aliyepo, kama raisi ni competent kutakuwa na serikali na taasisi competent na imara na kinyume chake ni hivyo hivyo, hao tiss boss wao ni raisi wa nchi hivyo kutegema kwamba wanaweza kwenda kinyume na raisi aliyepo anavyotaka ni wishful thinking, kwani huo ni uhaini moja kwa moja na huyo tiss atauwa kama wengine tu walivyouliwa, au kwa nini mnafikiri kuna mauaji na utekaji unaendelea kila siku?

tiss na serikali yote inaendana na raisi aliyepo, period ...
Unachokisema ni kweli 100%, uimara wa serikali na taasisi zake na ustawi wa taifa kwa ujumla unategemea upeo,akili na maarifa ya mtu aliyepo pale juu.

Kama unafuatilia international news bila shaka utakuwa unajua kuwa kuna wanajeshi 11 wa Nigeria na ndege yao ya kijeshi wamewekwa kizuizini huko Burkinafaso baada ya kutua kwa dharura kwenye moja ya viwanja vya nchi hiyo bila taarifa, na zimeshapita siku tano sasa...

...nilikuwa nasoma comments za wanaijeria kwenye pages mbali mbali kuhusiana na hii issue, aisee wanailaumu sana serikali yao na hasa raisi wao Tinubu ambaye wamembatiza jina wanamuita T-pain..

...wanasema kuwa Tinubu a.k.a T-pain ameriharibu jeshi lao limekuwa dhaifu sana kiasi cha kudharirishwa na nchi kama Burkinafaso, na wengi walikuwa wakifanya rejea kwa serikali za kijeshi zilizopita kuwa zisingeruhusu hili jambo litokee...

..wakamtaja mtu kama Sani Abacha kuwa enzi zake huyo Traore asingethubutu hata kuishirikia hiyo ndege na mateka wake kwa zaidi ya masaa mawili, maana alikuwa ni chuma kweli kweli na jeshi la Nigeria lilikuwa linaogopeka huko west africa.

Sasa na wewe unachokisema hapa kuhusu serikali ya Tanzagiza na taasisi zake ni mule mule, imagine eti leo hii Abdul mtoto wa raisi ndio anaviamrisha vyombo vya usalama vifanye vipi majukumu yao..? Yote hiyo ni kwa sababu ya akili mbovu za mtu aliyopo pale juu.

Lakini pamoja na hivyo, bado vyombo vyetu vina nafasi kutekeleza majukumu yao kwa waledi kma tu wakuu wao wakiamua na kuweka tamaa ya utajiri mkubwa wa haraka pembeni.
 
Inaumiza sana kwakweli kuona vyombo ambavyo vilipaswa kuogopwa na hao viongozi majizi kwa sababu ya kulinda ustawi wa taifa, sasa hivi ndio vinatumika kama ngao ya kuwalinda hao majizi yaendelee kufanya uchafu wao, yaan mpaka wamefikia hatua ya kugawana kabisa kwamba "hawa wako loyal kwangu, hawa ni wa upande ule"... halafu bado tunasema eti tuna usalama wa taifa? Ovyo sana.

Niliwahi kusoma mahali kuwa FBI ndio walikuwa mstari wa mbele kum expose raisi Richard Nixon alipotaka kuficha ushaidi wa Watergate scandal na hatimae kujiuzulu baada ya kila kitu kuwa adharani and just to remind you FBI director ni appointee wa raisi.

....hivi hawa wajinga wanaojiita makachero wabobezi wa hapa kwetu kuna siku watakuja kuanika uchafu wote unaofanywa na viongozi ambao umeligharimu taifa? Yaan mfano mtu kma Mombo aje awekee adharani ukweli wote kuhusu mauaji yaliyofanywa na samia kwenye MO29 ikiwemo kutaja sehemu zote walipofanyia mass graves? Natamani sana.

Hilo la VP kuwekwa under high surveillance nililiskia kwa dada wa taifa tangu kipindi cha kampeni, kuwa kimama hana imani na mgombea mwenza maana alikuwa chaguo lake, sikutaka kuamini kwa wakati ila kwa hali inayoendelea sasa ninaamini kwa 100% kuwa hawa watu wanaishi kwa kuliana timing.

Halafu VP ni zao la hao hao makachero wa wabobezi(kma wanavyojiita) a.k.a Tiss japo kwangu mimi nawaita wapumbavu, hivyo itakuwa ni ngumu sana Bi chura kumzidi kete....

....ila yote kwa yote acha tu wakorogane huko hatimae wamalizane kabisa kisha si tufungue mvinyo, maana ukoo wa wachawi mwisho wake haujawahi kuwa mzuri hata siku moja, ni lazima wageuzane vitoweo.
Kwa TZ tatizo huanzia kwenye vetting na recruitment, TISS inatakiwa total overhaul na sijui military intelligence(MI) kama wao wanajitambua ili kwa sasa angalau wawe tu overstretched wakabidhiwe majukumu yote ya TISS(I know this can’t happen, it’s just my wishful thinking) huku TISS ikiundwa upya.
 
Back
Top Bottom