Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

Kitu ambacho wewe hujui ni kwamba wakati wewe na wenzio mnatafuta namna gani ya kuibomoa Tz, kuna watu na vyombo vinajifunza namna bora ya kuilinda tz na watu wake. Taifa linagharamia kusomesha watanzania namna bora ya kuilinda Tz, tena wanapelekwa kusoma ndani na nje ya nchi za Afrika, Asia, Europe na Marekani. Kabla hujafikiria namna ya kuiangamiza tz au serikali iliyoko madarakani fikiria kwanza hilo.

Mfano, watanzania na vyombo vya dola wanajua kuwa wakoloni walikuwa wanasali pale kwenye kanisa la St. Peter Oyster bay na kuleee St. Joseph (forodhani). Tunajua kuwa wakoloni walipoondoka kurudi kwao waliwaacha maaskofu nyuma na wapo hadi leo kwa namna ileile. Hatujawahi kusikia maaskofu wakiwaomba radhi watanzania kwa kusalisha wakoloni waliokuwa wanaibagaza nchi yetu. Hivyo, hata leo kama nikisikia kanisa linatoa matamko ya kuipinga serikali ya watanzania sishangai. Matamko kama hayo yalipaswa kuwa mengi sana wakati wa ukoloni kupinga wakoloni kuiba mali zetu kwa nguvu na kupeleka kwao.

Kuna wakati nasikia bunge la ulaya linajadili maswala ya nchi za Afrika; huwa nacheka sana, maana bunge la ulaya ni lilelile lililo kaa kule Berlin, Ujerumani chini uongozi wa Bismarck kujadili namna ya kuigawana Afrika na kuitawala kwa nguvu. Ni watu hawahawa sasa wanajiita bunge la Ulaya. Wana mawazo na akili zilezile za babu zao walikutana kwenye Berlin conference kupanga namna ya kulikata kwenye vipande vya hovyohovyo na kutawala.
Basi hapa eti unajiona umewaza nje ya Box.

Unajiona una akili kubwa ya kuona kule ambako wengine hawapaoni.

Unajiona mzalendo.

Unajiona umeandika madini, na wakati umeandika upuuzi mtupu ambao ni mixture ya ujinga na uchawa.

Hata hivyo huko UVCCM mmejaa ma pseudo-intellectuals ambao ni weupe sana kichwani na ndio mnaotegemewa na TISS inasikitisha.
 
hata sisi hatujawahi kusikia mashehe wakituomba radhi kwa muslims arabs na irani kutuuza utumwa pamoja biashara ya pembe za ndovu ambapo tulibebeshwa mzigo kwa mguu ktk kgm mpaka pwani kufwata caravan.

Christians hawakuuza binadamu hapa kwetu ila muslims waliuza muslims weusi mpaka miaka 1910, mbona mashehe hawajawahi kuwaombea radhi kwetu? …
Hii counter argument ni heavy zaidi ya ICBM ya mkorea, mwambie huyo mvaa kobazi na kujikuta kwake mzalendo wakati ni mpuuzi tu na mfinyu wa maarifa ambaye kichwa chake kimetafunwa na udini mpaka basi.
 
Eti kipepeo , hujui kwamba hiyo KAZI haina future,
Usimruhusu mwanao kufanya hiyo KAZI, Nchi hii haifuati Sheria wala taratibu walizojiwekea wenyewe
Toa ufafanuzi haina future vp?
Kwahiyo level ya mafanikio aliyokuwa kafika Jenister unaichukuliaje yaani?!!
Unataka future after life ama una maana gani yani?
 
Hii nilishaisema tokea mwanzo, Jenista hakukubaliana na ule utaratibu wa kuficha maiti za Gen Z pamoja na ule mpango wa kuwaingiza majeruhi mortuary hivyo akatengeneza vita na Mombo, Ridhiwani na Abdul. Kwa kuwa naye amelelewa ndani ya usalama akawadindia akitegemea connections zake pasina kujua dhamira ya Samia ya kumuua kila anayemhisi ni kikwazo kwa Wazanzibari kuidhibiti Tanganyika.
Jenista ameuawa na mtandao wa Samia ambao na Ridhiwani ameamua kuingia front kwenye hili la kuua Watanganyika akiamini ni namna ya kujisafishia njia kutimiza ambitions zake ambayo pia malengo ya Jakaya. Subirini mtashangaa, walio kwenye list ya kuuawa wengi wao wameshaanza kujihisi sasa watasubiri wauawe au wataanza kupiga counterattacks?
Wakimbie haraka sana nje ya nchi na waanze kuongea, itaongeza speed kuling’oa uaji Samia, CCM tuliwaambia muuaji hana rafiki mtafikiwa tuu, Samia must go ameshaua sana na hataacha kishaonja damu
 
Nilimsikia hayati Jenestha akiongea English
Binafsi nilishangaa vetting ya viongozi wakubwa, yaani kilaza kama Jenestha anakuwa na chuo hadi kuwa Waziri?
Kaka achana na hiyo lugha bro .
Wengine tuna kazi ambazo ukizisema hapa kila mtu atatuita wasomi ila ikifika kwenye hako ka lugha bro nakuwa mdogo kama pirton
 
Mkwe anaenda kueleza siri za mgonjwa kama nani? Kama sio kuficha mambo yao?.Swali wataua wangapi?😓
 
Pole sana jielimishe ujue kiasi
Yaani sio kwamba sielewi hata akiongea Arnod schwalzeneger ila ile kurudisha kaka na hapo hapo niongee kwa kujimwaya mwaya kama ninavyoongea kiswahili na kizaramo inakuwa ngumu kaka ,ulimi unagoma na kukataa kata kata .
Nimebahatika kwenda mpaka kwa wenye hiyo lugha lakini bado halmshauri ya kichwa changu imegoma kuipokea kabisa .

Ni hapo nimebaki kujiweka mbali na makongamano yanayohusisha hiyo lugha .
 
Back
Top Bottom