stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
mKWA NINI TOYOTA IST HUWA ZINA CHOKA MAPEMA
Toyota IST zina injin ambayo ina uvumilivu kwakipindi kifupi
1) INJIN KUA NA MLIO WA TOFAUT
Hapa tatizo ni kutumia oil ambayo sio sahihi hivyo injin hizi zitakuvumilia kwa kipind kifupi baada ya hapo
Utashangaa gari ni IST ila ina mngurumo wa Toyota hilux ya diesel
2)BODY KUTEPETA
gari hii imeundwa kwa ajili yakubeba watu wa 4 tu na au inaweza kubeba kilo 200 tu
Sasa unapishana na IST imejaza washikaji wanaenda kula bata mpaka imeinama yani watu wamepakatana ndan na bado kwenye boot wameweka mizigo wakubeba pickup imebeba IST alafu inavyopigizwa kwenye mashimo baada ya muda unakuta body linaacha mwili yani IST ina sura ya Toyota port
Watu wakuingia kwenye Noah wanafosiwa waingie kwenye IST
3) GIA BOX KUFELI
hii nikutokana na kuweka hidrolic nyingi yani Kuover dose
Kupakia mzigo zaid
Unakuta Mara haibadili GIA
Mara imeunguza cultch
Mara imeuwa valve chesi
4) KUVUKA SERVICE
Ikiwa natabia unaweka oil ya km 3000 ila una tembelea mpaka km 3800-4000 basi ndugu jiandae tu kwenda kununua injin nyingine kama hutapata fundi alie kuwa makini maana siku ikianza kupandisha mashetani utaikimbia
Zingatia na mfumo wa upozaji.umo wa upozaji. Mengine ongezeni wenyewe