Kwanini Toyota IST huwa zinawahi sana kuchoka

Kwanini Toyota IST huwa zinawahi sana kuchoka

Umeongea upumbavu, inaonyesha pia hujawai miliki hata bicycle 🚴

Swala la tinted kila gari now day ina tinted, swala la kutomb** ndani ya gari hii n tabia ya mtu binafsi cz hili tendo hufanya n mtu na sio gari..

Next time usiharibu uzi wa watu kwa akili zako mgando..

mtoa mada anataka umueleze mechanical issues na sio utopolo wako
 
Back
Top Bottom