Nadhani hujanielewa point yangu, Sijasema IST ni bora hapana itakuwa wazimu nimesema kwa mtu ambaye ananunua gari atumie akitegemea kuja kuuza na kununua tena IST inarudisha pesa, Range sijui BMW ni gari expensive na bora mara alfu ila thamani zake zinashuka sana kwenye kuuza. Ndio maana hizi ni gari za mtu mwenye pesa zake na hajali safari ya mbele kwenye kuuza anakuwa kama kala Bi G na katema.
Huyo n mwehu tuu anaekurupuka, huwez fananisha ist na range…
Kwanza kampuni tofauti, car models tofauti, selling target ilikuwa tofauti pia, body, engine capacity, transmission, durability, etc ni tofauti na hata market value pia n tofauti..
Bado kwa nchi zetu Ist n gari bora sn, watu wanye hela za mawazo km huyo mwehu apo anaefananisha Ist n range asijaribu kuvuta hiyo range.. gari gani had side mirrors unaagiza nje?
Hatuna mafundi wakutosha, na waliopo hatuwez mudu gharama zao..
Mm Leo hii ukihitaji range rover ya 2010 kwenda juu kwa milion 20 nakuletea..
Je ilinunuliwa kwa price hiyo?
Ma bmw kibao yanauzwa had milion 6 je yaliagizwa kwa bei hiyo?
Why gari km Ist hata number B inauzwa chap Sana kuliko bmw number E hata km bei yake ni milion 9…
Europe cars kwa uchumi wetu ni cancer, hatuzimudu,