Umeongea upumbavu, inaonyesha pia hujawai miliki hata bicycle 🚴
Swala la tinted kila gari now day ina tinted, swala la kutomb** ndani ya gari hii n tabia ya mtu binafsi cz hili tendo hufanya n mtu na sio gari..
Next time usiharibu uzi wa watu kwa akili zako mgando..
mtoa mada anataka umueleze mechanical issues na sio utopolo wako