Kwanini Toyota Premio siku hizi zinapendwa sana?

Premio Old Model
Ukifika
Muleba, Misenyi, Karagwe, NgarA
Huko Ndiyo Taix, Wanasema Inanusa Unleaded
acheni niliwekewa bondi premio old model kutoka ARUSHA TO MONDOLI niliweka wese majengo ya chini lita 5 kufika duka bovu yamekata ikabidi nichungulie chini labda tank limemetoboka.narudi nikaweka lita 5 Mondoli kufika tembo clube imekata..nikaachananayo nikaendelea kutumia kimeo changu grand
 
Gari mbovu hiyo.
 
Premio ndio chuma nachomiliki nilikivuta kwa 17M, japo ndo gari yangu ya kwanza ila kiukweli sijawahi kujuta.

Ndani ipo very sexy hata mke wako akiingia humo ndugu yangu hachomoki, mafuta ya kunusa tu.. pia premio ina hadhi yake hata ukipark sehemu wanakuchukulia seriously tofauti ukiwa na Ist.

Asikwambie mtu mkuu, Premio tamu.
 
Hiyo gari yako huenda mbovu, mimi niliweka mafuta ya elfu 50 nimetoka nayo dar mpaka moro na yakabaki ya kupigia misele mtaani.
 
acheni niliwekewa bondi premio old model kutoka ARUSHA TO MONDOLI niliweka wese majengo ya chini lita 5 kufika duka bovu yamekata ikabidi nichungulie chini labda tank limemetoboka.narudi nikaweka lita 5 Mondoli kufika tembo clube imekata..nikaachananayo nikaendelea kutumia kimeo changu grand
Hio sio premio ni mkorosho
 
Premio ndio chuma nachomiliki nilikivuta kwa 17M, japo ndo gari yangu ya kwanza ila kiukweli sijawahi kujuta.

Ndani ipo very sexy hata mke wako akiingia humo ndugu yangu hachomoki, mafuta ya kunusa tu.. pia premio ina hadhi yake hata ukipark sehemu wanakuchukulia seriously tofauti ukiwa na Ist.

Asikwambie mtu mkuu, Premio tamu.
Gari ya 17m unachukuliwa serious na nan bana ww[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
 
Back
Top Bottom