Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Hela nyingi sana hyo kununulia sedan cars...though kuna watu wanapenda sana gari za hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela nyingi sana hyo kununulia sedan cars...though kuna watu wanapenda sana gari za hvyo
Io kwer lazim itembee 11.5 apa watu wanakimbilia engine ndogo cc 1490 1NZ fe ndo zinatembea 16km/h adi 17Cc 1790
Io kwer lazim itembee 11.5 apa watu wanakimbilia engine ndogo cc 1490 1NZ fe ndo zinatembea 16km/h adi 17Cc 1790
Yale yale ya "CARINA Ti" trending muonekano wake na gharama yakeSababu ya kupendwa hizi gari ni nin hasa??
Hizo ni story za watu wa jamii forums tu kaka, Premio ya 1500 cc iende 16km/L IST si ya 1200Cc Si itaenda km 20?mkuu mm yangu haijawah kufika apo na ni namba E au umeangalia figure za mitandaoni, mm inatembea 11.5km/l in highway 1500cc kama kuna mtu ana data ambazo ni practical aseme kwa upande wake inatembea km ngp kwa lita
sure aisee watu hawajacalculate wanakisia tuuKila mtu hapa atakwambia premio yake inaenda hata km 18 kwa lita wakati hajawah kujaribu kufanya calculations halisi ila anatumia tu hisia.
Gari yangu ni 1790 Allion na nnaenda 10Km kwa lita maeneo ya town.
High way ndo inanipa hadi 14Km
Maana yake kwa 1490, atleast 13km urban mpaka 14 ila sio 17 kama mbombela za watu zinavyosema
Wewe fikiria gari ya 1490 iende Km 17,sure aisee watu hawajacalculate wanakisia tuu