Kwanini Toyota Premio siku hizi zinapendwa sana?

Kwanini Toyota Premio siku hizi zinapendwa sana?

mkuu mm yangu haijawah kufika apo na ni namba E au umeangalia figure za mitandaoni, mm inatembea 11.5km/l in highway 1500cc kama kuna mtu ana data ambazo ni practical aseme kwa upande wake inatembea km ngp kwa lita
Hizo ni story za watu wa jamii forums tu kaka, Premio ya 1500 cc iende 16km/L IST si ya 1200Cc Si itaenda km 20?

Mimi nna Alliona 1790 na nnaenda Km 10/ltr urban na 14KM /Ltr high way
 
Kila mtu hapa atakwambia premio yake inaenda hata km 18 kwa lita wakati hajawah kujaribu kufanya calculations halisi ila anatumia tu hisia.

Gari yangu ni 1790 Allion na nnaenda 10Km kwa lita maeneo ya town.
High way ndo inanipa hadi 14Km

Maana yake kwa 1490, atleast 13km urban mpaka 14 ila sio 17 kama mbombela za watu zinavyosema
 
sure aisee watu hawajacalculate wanakisia tuu
 
Back
Top Bottom