Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Okay...Hapo nadhani hakuna mzani ndio maana iko Flat rate ya 30000; Inawezekana wameangalia uwezo rafiki wa wamiliki magari wengi wastani ukaangukia hapo (sina hakika kigezo gani walitumia, inawezekana waliamua tu)
Kwanini Murder na Manslaughter yote ni mauaji lakini yana hukumu mbili tofauti?...Kumbuka hizi tozo hazikuwekwa ili kuwa sehemu ya chanzo cha mapato ma serikali waliweka tozo ili iwe onyo kwa muhusika pale anapokosea .
Sidhani kama upo sahihi katika hili mkuuIla kwa serikali hii ilipofikia kila sehemu yenye kuingiza hela wao wanataka iwe sehemu ya kuingiza mapato serikali kuu.
Kwanini ni 30K na sio 20K?Kosa lolote la barabaran kisheria ni 30k fullstop
Sawa mkuuYaani Kosa halijapimwa, ndio maana fine yake ni moja; Kosa likiwekwa kwenye mizania basi nadhani hapo fine zitaanza kutofautiana. Fine haiitaji kupimwa, maana inategemea zaidi Kosa lililopimwa ili fine yenyewe iwe Applied.
Aliyekuwa anaendesha ina umuhimu gani kama jina la mmiliki tayari lipo TRA? Hii justification yako haina mashiko hata kidogo mkuuIli kuweka records sahihi, maana madereva wengine huiba magari yard na kwemda kupiga day worker bila kumtaarifu bosi, hivyo lazima tujue aliyekuwa anaendesha
Jina lililopo TRA ni la mmiliki na sio la aneyeendesha gari kwa muda huo gari linapopigwa faini, tumeelewana?Aliyekuwa anaendesha ina umuhimu gani kama jina la mmiliki tayari lipo TRA? Hii justification yako haina mashiko hata kidogo mkuu
BadoJina lililopo TRA ni la mmiliki na sio la aneyeendesha gari kwa muda huo gari linapopigwa faini, tumeelewana?
Sawa mkuu...Gari halifanyi makosa ya usalama barabarani. Dereva ndiye anayefanya hayo makosa.
Unakula kwa kengele? Humu tuko na watoto wetu kumbeShukrani kwa kushiliki
Mwingine mwenye hoja mbadala anyoshe kidole juu
Tufanye haraka muda wa chakula umekaribia tafadhali
Kwenye daraja wanaangalia uzito wa gari na sio kosa. Faini ya barabarani inalipwa kutokana na kosa na si uzito au bei ya gari. Kosa linamhusu dereva na sio gari hivyo fine inawekwa kwa kukosea kwa dereva mfano kutokusimama kwenye zebra, kupita taa nyekundu, kutovaa mkanda n.kKatika kuvuka daraja la Mwalimu Nyerere pale Kigamboni wanalipa kulingana na ukubwa wa gari na kwanini hakuna tozo za kufanana?
Paye ni makato sio adhabu hivyo haiwezi kupimwa sawa na adhabuKigezo ni nini sasa? Mbona kwa PAYE ukubwa wa mshahara ndio kigezo?
Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?Paye ni makato sio adhabu hivyo haiwezi kupimwa sawa na adhabu
Kosa ni kusababisha ajali. Wakianza kuangalia impact itakuwa ngumu kupanga fine. Inaweza ikavuka bodaboda na ikasababisha daladala kuikwepa na kupinduka na kuua watu kumi Sasa hapo utasemaje kuhusu udogo wa bodaboda?Lakini si kweli pia kwamba bajaji aliyebeba abiria akavuka redlight na akagonga na lory ataua watu wengi zaidi ya Lorry la mchanga likivuka redlight na akagongwa na Lorry ambapo mafereva wote wanauwezekano mkubwa wa kupona? Kwahiyo ukubwa wa engibe sio kigezo consistent na hakiqualify kuwa base of reference
Yale unayolipishwa njiani ni makosa madogo kwa mujibu wa sheria. Makosa makubwa yanatakiwa yatolewe hukumu mahakamani na unaweza hata kufungwa miaka 10. Mfano dereva aliyesababisha ajali ya Sokoine alifungwa miaka 15 jela.Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?
ExactlyKosa ni kusababisha ajali. Wakianza kuangalia impact itakuwa ngumu kupanga fine. Inaweza ikavuka bodaboda na ikasababisha daladala kuikwepa na kupinduka na kuua watu kumi Sasa hapo utasemaje kuhusu udogo wa bodaboda?