Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Kwann wasipandishe ikafikia ya hao tpdc?? Roho yakishirikina hii
 
ila mishahara ya Tanzania inatakiwa kufanyiwa review watu wote mna degree moja mfano accounts ya halmashauli analipwa kidogo wa TRA au Bot au TCRA anampita mara kumi hii sio sawa wakati nature ya kazi ni moja
Mishara kote duniani hailingani. Ndiyo maana professor wa UDSM analipwa tofauti na wa SAUT. Hata madaktari wa fani moji na ujuzi uleule hawalipwi mishara sawa. Pia wenye CPA hawalipi mishahara sawa. Mara nyingi mlipa mshahara ndiyo huamuwa, ila mara nyingi kunakuwa na minimum pay.
 
Kwa hiyo mtaani wangu Mataragio Anakula 50m kwa Mwezi. Its equivalent to BAE salary in UK. That's madness in poor country like Tz. If its true.
 
Nchi hii Ili ule Mshahara Mkubwa inategemea umeajiriwa wapi. Yaani uko taasisii Gani. Haiwezekani Mtumishi wa Tamisemi hata kama mlisoma course Moja na Chuo kimoja afanane Mshahara na wewe WA Authority au Government Agency.
 
Huo ndio uchawi wenyewe kwanini usiombe Serikali ikawapandishia mshahara wa kutosha hao walimu badala ya kushusha mshahara wa wafanyakazi wa TPDC? Haya wakishushiwa mshahara na walimu nao wakabaki kwenye kima cha mshahara wao utakuwa umewasaidia walimu? Tafakari
 
Hicho ulicho andiks mwisho umekosea au tuseme umeteleza. Physics au Engineering science ni mama wa kitu chochote kile ulichotaja kuwa wana haki ya kupata mshahara mnono. Labda ugesema mwalimu wa Masomo ya lugha kama kiswahili, kiingereza nk. Hizo kada ulizotaja bila physics utaziona kituo cha polisi.
 
Aisee sio mchezo duh
Mimi aliyekua Mwenyekiti wa bodi TPDC Jaji Makanja ninamuita kaka na kwake nilikua naenda sana wakati akiwa jaji na baada ya kustaafu. Ila nimekuja kujua kawa mwenyekiti too late. Angenisaidia hata kazi ya kuosha vyombo na kuwaandalia chai wakubwa hapo maana elimu sina.
Daah!
 
Mkurugenzj wa TPDC miaka kadhaa iliyopita ilikuwa wanakunja hadi million 36 per month...yan kila mwezi kuna uwezekano wa kujenga nyumba kali ya standard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…