Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Mkurugenzj wa TPDC miaka kadhaa iliyopita ilikuwa wanakunja hadi million 36 per month...yan kila mwezi kuna uwezekano wa kujenga nyumba kali ya standard
M36 unaweza jenga nyumba ila sio nyumba unayotaka kutuaminisha labda umeskia stori tu acha ubwege mimi ninasimamia ujenzi wa nyumba unayosema ya partition ila mpka now imebakiza finishing ishakula 40m labda unambie serikali ndio inajenga na kwa standard za serikali za uwizi uwizi mbali na hapo usidanganye umati kwa stor za vijiweni
 
acha unoko'kila m2 na bahati yake
 
Kaka Huu Uongo, Per diem ya Laki Tatu? Dereva?
 
Ahsante kwa kumpa elimu bwege
 
Kipindi Cha Jiwe Nini? [emoji3], Maana Ndio Alileta Hizo
 
yuko sawa mimi nimejenga sitting room with open kitchen na master room imekamilika kabisa vioo tiles imecost 15 m wazee muache kubeza kila kitu hapo tu mapinga mkitaka kupaona nitafuteni
 
Kwanini kila ukitaja mshahara lazima umtaje mwalimu? Tena humtaji kwa mazuri.

Najua unahisi unawasemea vizuri kwa serikali lakini unachokifanya ni kuwadhalilisha tu.

Siku moja jaribu hata siku moja kumsifia mwalimu angalau kwamba amefanya kazi nzuri mpaka kuna watu wanalipwa 5 mil. kwaajili yake.
 
Acha kutuonea wivu yaani tuhangaike na masomo magumu magumu tupewe mshahara mnono ulalamike, kama unaona kusomea petroleum ni rahisi kasome na wewe.
Ulikimbilia masomo ya kusoma ukiwa kitandani umejilaza unataka tulipwe sawa? Acha wivu wewe
Tpdc wanaajiri hadi hao unaosema wamesomea kitandani eg Human resources officers, Public administration,etc Tpdc haiwezi kwenda bila kuwepo department of human resources, hata eng.mataragio na Eng musomba wanalijua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…