Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Wewe ulifanya kazi position na department ipi TPDC?

Unatushauri nini vijana tunaotaka kuingia TPDC?
Umeufukunyua Uzi wa zamani halafu unauliza tu bila hata ya kusalimia wakubwa wako[emoji134]humu tunatumia ID za Siri,sasa unataka nitaje Cheo au Idara ili nijulikane??
 
mashirika yote ya umma yanalipa mshahara mkubwa sana kuliko seirkali kuu na serikali za mtaa. usionee wivu mtu anayepata, na wewe kafanye kazi huko ili upate kama wao au somesha mtoto afanye huko tuone kama utaleta tena hiyo thread hapa. acha wivu.
 
Mwana kasome mahesabu ya mafuta uone mziki wake,ni course ngumu kufaulu rahis kufeli,Una watu wachache Sana wataaalam...
 
Mkuu entry level salary ni ngapi
 
Nani alikushauri usomeee ualimu??
 
Smaahani lkn mkuu unamaana hawa watu wanakula asali zaidi ya wabunge au wanasiasa kwa ujumla.
 
Dereva wa hazina per diem lak 3tuu!? Acheni utoto jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…