Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Mshahara wa mfsnyakazi wa BOT,TRA,hauwezi kuwa Sawa na mfsnyakazi wa halmashauri,
Ni bahati mbaya waalimu wanalipwa kiduchu,lakini Engineer anayesimqmia mifumo ya Teknohama,au umeme,au maji takq,mawasiliano,data centrers,huwezi kumlipa mshahara Sawa na Mwalimu wa sekondsr anayefundisha fizikia
 
Unatoa ushauri gana Kwa walimu wanaolipwa pesa ya barmaid
 
ila mishahara ya Tanzania inatakiwa kufanyiwa review watu wote mna degree moja mfano accounts ya halmashauli analipwa kidogo wa TRA au Bot au TCRA anampita mara kumi hii sio sawa wakati nature ya kazi ni moja
Ushasema halmashauri, yani wewe ni local gvt huwez linganisha na waliopo central
 
Wivu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…