Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Asali mkuu
Waache walambe hadi mzinga utoboke
 
Wenzenu wakati wanasoma vitu vigumu kama petroleum engineering e.tc mlikuwa mnawasema vibaya ati wanasoma kama wametumwa na kijiji.

Leo wanapokea pesa ndefu mnawaonea dongo
You are fool indeed.
Kwahiyo course daktari course yake ni fupi na laini kuliko hiyo ya petroleum engineering?
Je, MISHAHARA inavary kulingana na ugumu wa course?
Mhasibu wa TPA ana course tofauti na mhasibu wa Pugu secondary?
 

JamiiForums huu ni upotoshaji...

Mfano huo mshahara wa mil 5 uliotajwa sio wa entry level, wenye vyeo vya umeneja ndio mshahara wao upo kwenye kiwango hicho...

Na hata hiyo mil 8 iliyotajwa nayo ni kwa ngazi ya wakurugenzi...
 
lita gani hii hii ya chuo cha mifugo au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…