Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

Acha kutuonea wivu yaani tuhangaike na masomo magumu magumu tupewe mshahara mnono ulalamike, kama unaona kusomea petroleum ni rahisi kasome na wewe.
Ulikimbilia masomo ya kusoma ukiwa kitandani umejilaza unataka tulipwe sawa? Acha wivu wewe
Kwahiyo unamsema Samia aliyesomea community development at mzumbe University sindio
 
Acha kutuonea wivu yaani tuhangaike na masomo magumu magumu tupewe mshahara mnono ulalamike, kama unaona kusomea petroleum ni rahisi kasome na wewe.
Ulikimbilia masomo ya kusoma ukiwa kitandani umejilaza unataka tulipwe sawa? Acha wivu wewe
😤
 
mpwayungu huwa haongei kitu bila kuwa na evidence. Huonagi analeta salary slip hapa.
 
Taja kozi yoyote ila hakuna inayoifikia MD, maana haideal na vitu bali na watu, no room for mistake
No room for mistake kwa hawa hawa MDs wa bongo?!

You can't be serious.

If that's the case, vipi kuhusu udereva wa ndege aka pilot kuna room for mistake?, shida watu wa afya huwa mnajikuta watu special sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliacha au unaendelea tpdc
 
Hebu fafanua kwa hoja uweke na mifano tujue ukweli wake
 
Mimi ni mtaalamu wa cartography...si ninaweza pata nafasi hapo?
 
Lakini five m per month bado ni pesa ndogo.
sema Tz dhiki ni kubwa mpaka tunaona 5m ni bonge la gawio
Kwa hali ya maisha yetu hapa bongo hiyo pesa ni nyingi sana na unaweza fanya mambo mengi sana. Ingawa sidhani km hicho ni kima cha chini itakuwa ni managerial level salary hiyo..
[emoji23][emoji23][emoji23]Njoo huku nilipo yaani hata million 5 kwa mwezi itazidi , kikubwa uwe mwizi mzuri tu .
Umemaliza mkuu na ndio life la wengi bongo kwenye hizi kazi ni uwizi na udokozi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…