wengi wanatamani kufungua kampuni ila mchakato haupo rafiki,
Usajili wa kampuni unafanyika moja kwa moja kwa njia ya mtandao kupitia BRELA ORS au http://www.brela.go.tz, unatakiwa kuwa na:- 1.Katiba ya kampuni (Memorandum and Articles of association) 2.Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) kwa wahusika ambao ni watanzania kwa wahusika ambao sio watanzania wanatakiwa kuwa na hati ya kusafiria (passport) 3.Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kwa wakurugenzi ambao ni watanzania 4.Barua pepe kwa wahusika wote 5.Namba ya simu ya kila muhusika 6.Fomu ya maadili utaipata katika mfumo wetu...NATAKA NIFUNGUE KAMPUNI
NIPE DARASA ZAIDI.
Ni vitu gani wanavyokuomba TRA ukienda? Hebu jaribu kufafanua mkuu ili wengine tukifikia hatua hiyo tujiandaeUnaenda Brela unafungua Kampuni kwa kupeleka documents zote. Unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela.
Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiriwa na TRA wanakupa TIN namba automatic.
Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela mpaka waombe document mara 2? Kwani wanashindwa ku link tu wakaziona kutokea Brela kama ambavyo wanalink ufunguaji wa kampuni.
Yaani wananikumbusha Taasisi kama Uhamiaji, wao ndio walikukagua ukapewa NIDA ila ukienda kuomba passport na NIDA hawaitambui wanataka upeleke nyaraka sawa na ulizopeleka wakati unaomba NIDA. Huwa sielewi aisee.
sema Bongo ujanja mwingi ni katika kujilidhisha,ila mfumo mpya wa TRA ukizoeleka utakujaondoa hizi keroUnaenda Brela unafungua Kampuni kwa kupeleka documents zote. Unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela.
Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiriwa na TRA wanakupa TIN namba automatic.
Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela mpaka waombe document mara 2? Kwani wanashindwa ku link tu wakaziona kutokea Brela kama ambavyo wanalink ufunguaji wa kampuni.
Yaani wananikumbusha Taasisi kama Uhamiaji, wao ndio walikukagua ukapewa NIDA ila ukienda kuomba passport na NIDA hawaitambui wanataka upeleke nyaraka sawa na ulizopeleka wakati unaomba NIDA. Huwa sielewi aisee.
Brela wenyewe Kila mfumo unaoingia unatakiwa ujisajiri. Ukijisajiri brela unafungua Kampuni. Halafu unaingia brela unataka kujaza benefiahari sijui napo unajisajiri upya, halafu unaingia mfumo wa leseni kuomba leseni napo unatakiwa ujisajiri, ni humohumo tu brela π€£π€£π€£Mfumo wa ideas nao wanataka makaratasi Candela , elezea vizur mkuu?
Hapa naongelea huo mfumo mpya. Mfumo una kipengere cha kutoa baadhi ya karatasi kiotomatiki lakini ukishajaza ukamaliza wanataka tena uende ofisini.sema Bongo ujanja mwingi ni katika kujilidhisha,ila mfumo mpya wa TRA ukizoeleka utakujaondoa hizi kero
Ukishafungua kampuni bado kuna mlolongo wa ma kodi mengi mnoowengi wanatamani kufungua kampuni ila mchakato haupo rafiki,
wengi wanatamani kufungua kampuni ila mchakato haupo rafiki,
NATAKA NIFUNGUE KAMPUNIHabari, zoezi la kufungua kampuni ni rahisi na ufanyika kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wetu wa ors.brela.go.tz, pindi unapojaza taarifa za usajili wa kampuni yako na kukutana na changamoto usisite kuwasiliana nasi kupitia namba yetu ya kituo cha miito BRELA 0222212800 kwa msaada zaidi.
Darasa la nini kijana?NATAKA NIFUNGUE KAMPUNI
NIPE DARASA ZAIDI.
Aina za kampuniDarasa la nini kijana?
Usajili wa kampuni unafanyika moja kwa moja kwa njia ya mtandao kupitia BRELA ORS au http://www.brela.go.tz, unatakiwa kuwa na:- 1.Katiba ya kampuni (Memorandum and Articles of association) 2.Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) kwa wahusika ambao ni watanzania kwa wahusika ambao sio watanzania wanatakiwa kuwa na hati ya kusafiria (passport) 3.Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kwa wakurugenzi ambao ni watanzania 4.Barua pepe kwa wahusika wote 5.Namba ya simu ya kila muhusika 6.Fomu ya maadili utaipata katika mfumo wetu wa BRELA ORS baada ya kumaliza kujaza taarifa za usajili wa kampuni yako 7.Fomu ya mjumuisho utaipata katika mfumo wetu wa BRELA ORS baada ya kumaliza kujaza taarifa za usajili wa kampuni yako.NATAKA NIFUNGUE KAMPUNI
NIPE DARASA ZAIDI.