Gharama ya usajili wa kampuni hutegemeana na mtaji wa kampuni husika, tembelea katika tovuti yetu ya www.brela.go.tz kuona gharama za usajili wa kampuni pamoja na aina za kampuni na kupata taarifa zaidi.Aina za kampuni
Ada
nimechukua mawasiliano ahsanteHabari, zoezi la kufungua kampuni ni rahisi na ufanyika kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wetu wa ors.brela.go.tz, pindi unapojaza taarifa za usajili wa kampuni yako na kukutana na changamoto usisite kuwasiliana nasi kupitia namba yetu ya kituo cha miito BRELA 0222212800 kwa msaada zaidi.
vikwazo mkuuUkishafungua kampuni bado kuna mlolongo wa ma kodi mengi mnoo
Inatafutwa kona ili upigwe hela, its line niUnaenda Brela unafungua Kampuni kwa kupeleka documents zote. Unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela.
Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiriwa na TRA wanakupa TIN namba automatic.
Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela mpaka waombe document mara 2? Kwani wanashindwa ku link tu wakaziona kutokea Brela kama ambavyo wanalink ufunguaji wa kampuni.
Yaani wananikumbusha Taasisi kama Uhamiaji, wao ndio walikukagua ukapewa NIDA ila ukienda kuomba passport na NIDA hawaitambui wanataka upeleke nyaraka sawa na ulizopeleka wakati unaomba NIDA. Huwa sielewi aisee.
Ukisha sajili kampuni Brela unatakiwa uende TRA na vitu hiviNi vitu gani wanavyokuomba TRA ukienda? Hebu jaribu kufafanua mkuu ili wengine tukifikia hatua hiyo tujiandae
Asante mkuu π‘.Ukisha sajili kampuni Brela unatakiwa uende TRA na vitu hivi
1.Memorandum of association
2.Certificate of incorporation
3.Lease Agreement(Mkataba wa kupangisha ofisi/fremu)
4.Barua ya utambulisho wa Director mmoja wapo kutoka serikali ya Mtaa
5.Passport size mbili za Directors wote
6.Individual Tin Certificate ya Directors
7.Kitambulisho cha Taifa(NIDA) Au cha mpiga kura au leseni au Passport
Ndio ngoja tusubiri mabadilikoAsante mkuu π‘.
Ndio ilikuwa swali la Ndugu Candela , kuwa makaratasi /Documents za Brela kuhitajika tena na TRA .
Mifumo kusomana ni swala indelevu wahusika natumai ,wameona na wata solve
Mifumo bongo uwa aionaniUnaenda Brela unafungua Kampuni kwa kupeleka documents zote. Unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela.
Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiriwa na TRA wanakupa TIN namba automatic.
Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela mpaka waombe document mara 2? Kwani wanashindwa ku link tu wakaziona kutokea Brela kama ambavyo wanalink ufunguaji wa kampuni.
Yaani wananikumbusha Taasisi kama Uhamiaji, wao ndio walikukagua ukapewa NIDA ila ukienda kuomba passport na NIDA hawaitambui wanataka upeleke nyaraka sawa na ulizopeleka wakati unaomba NIDA. Huwa sielewi aisee.
Jamaa CEO wa TRA ana jifanya mjanja , ule mfumo ni copy and paste kutoka Korea, una mpaka translate ya Korean π.Kama IDRAS nilivyoona ya hovyo nikajua Developer wa bongo kumbe waliajiri watu wa nje π€£π€£π€£
Na ninyi mnatumia VPN ππππHabari, zoezi la kufungua kampuni ni rahisi na ufanyika kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wetu wa ors.brela.go.tz, pindi unapojaza taarifa za usajili wa kampuni yako na kukutana na changamoto usisite kuwasiliana nasi kupitia namba yetu ya kituo cha miito BRELA 0222212800 kwa msaada zaidi.
Mbovu kisheziKama IDRAS nilivyoona ya hovyo nikajua Developer wa bongo kumbe waliajiri watu wa nje π€£π€£π€£
hahahahaha....wanaifungia JF halafu wanaitafuta kwa VPN. Hovyo kabisaNa ninyi mnatumia VPN ππππ
Inakera ndio ila wanafanya hivyo kwa ajili ya checks and balance.Unaenda Brela unafungua Kampuni kwa kupeleka documents zote. Unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela.
Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiriwa na TRA wanakupa TIN namba automatic.
Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela mpaka waombe document mara 2? Kwani wanashindwa ku link tu wakaziona kutokea Brela kama ambavyo wanalink ufunguaji wa kampuni.
Yaani wananikumbusha Taasisi kama Uhamiaji, wao ndio walikukagua ukapewa NIDA ila ukienda kuomba passport na NIDA hawaitambui wanataka upeleke nyaraka sawa na ulizopeleka wakati unaomba NIDA. Huwa sielewi aisee.
vipi kama moja ya shareholders ni kampuni nyingine? Na je itatakiwa iwe pia kwenye list of directors?Usajili wa kampuni unafanyika moja kwa moja kwa njia ya mtandao kupitia BRELA ORS au http://www.brela.go.tz, unatakiwa kuwa na:- 1.Katiba ya kampuni (Memorandum and Articles of association) 2.Namba ya kitambulisho cha taifa (NIN) kwa wahusika ambao ni watanzania kwa wahusika ambao sio watanzania wanatakiwa kuwa na hati ya kusafiria (passport) 3.Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kwa wakurugenzi ambao ni watanzania 4.Barua pepe kwa wahusika wote 5.Namba ya simu ya kila muhusika 6.Fomu ya maadili utaipata katika mfumo wetu wa BRELA ORS baada ya kumaliza kujaza taarifa za usajili wa kampuni yako 7.Fomu ya mjumuisho utaipata katika mfumo wetu wa BRELA ORS baada ya kumaliza kujaza taarifa za usajili wa kampuni yako.
Samahani VPN ndiyo nini kijana?Na ninyi mnatumia VPN ππππ
Virtual private networkSamahani VPN ndiyo nini kijana?
Mkuu sio kweli.Njia pekee ni mpaka utumie mawakala ambao huwahonga watumishi kule ndani