We ulishawahi kwenda Blera? Iko hivi unatuma maobmi ila hayafanyiwi kazi mpaka uende personal uongee na mtumishi ndio umpe kitu kisha ashughulikie maombi yako. tofauti na hapo yataangaliwa tu kwenye mfumo hamna ataeyagusa.Mkuu sio kweli.
Wa Tanzania wengi hawana Taarifa sahihi. Na hawajui kutumia mifumo ya serikali.
Sasa mtumishi wa ndani anakufungiliaje company?
Inaonyesha hawajui kutumia mifumo wa Brela.
Pole mkuu, kwa yalio kukuta .We ulishawahi kwenda Blera? Iko hivi unatuma maobmi ila hayafanyiwi kazi mpaka uende personal uongee na mtumishi ndio umpe kitu kisha ashughulikie maombi yako. tofauti na hapo yataangaliwa tu kwenye mfumo hamna ataeyagusa.
Nimeanza kutumia computer tangu shule ya msingi, sekondary mpaka chuo nikasoma IT. So uelewa wa computer sio issue. Ladba IDRAS ndio tatizoPole mkuu, kwa yalio kukuta .
Swali unayo laptop au computer ?
Unao ujuzi sahihi wa kutumia mifumo wa Brela ?
Mimi nimefungua company mwezi wa 3 , April nikapata certificate incorporation mwezi huo huo nikamaliza usajil TRA kwa ku upload certificate incorporation TU kwenye mfumo wa Idras. Na niko mikoani huko, sijaja dar hata siku Moja.
Ndio maana nashindwa kuelewa wewe na wenzako Muna kwamba wapi ?
Okay sawa mkuu, jaribu kuwauluzia vijana wenzako wa stationary wakuelekeze kidogo .Nimeanza kutumia computer tangu shule ya msingi, sekondary mpaka chuo nikasoma IT. So uelewa wa computer sio issue. Ladba IDRAS ndio tatizo
Mi nafanya systems development , napumzika mda wa kula tu kaka. mda wa kujifunza sina. Usiku na mchana na code tu.Okay sawa mkuu, jaribu kuwauluzia vijana wenzako wa stationary wakuelekeze kidogo .
Alafu kama una bando la unlimited , tutorials za Idras zipo mule mule kwenue system, wameelekeza vizuri sana, PATA muda tulia ujifunze
Okay hongera developer,Mi nafanya systems development , napumzika mda wa kula tu kaka. mda wa kujifunza sina. Usiku na mchana na code tu.
Blender sina mke tunafanyaje nikitoka huku YUES nikutafute?Okay hongera developer,
Jitahidi ujifunze mwenyewe na kuielewa mifumo ya serikali mara mara , itakusaidia kujihudumia mwenyewe bila kupigwa pesa Kwa vitu vidogo vya ku upload na kujaza
Haha 🤣, to lateBlender sina mke tunafanyaje nikitoka huku YUES nikutafute?