Na kibaya zaidi mstafu anapoingia kwenye biashara anakuwa hana uzoefu.
Kawaida ya biashara ina kuanguka na kuinuka na wenye uzoefu wa kuanguka na kuinuka ni hawa wa mtaani. Sasa hapa mstafu akishaanguka mara moja na 33.3% yake anajikatia tamaa inabidi aanze kusubiri 250k ya mwisho wa mwezi na hapo ukute hata nyumba hakumaliza kujenga, alikuwa anasubiri faida amalizie ujenzi.