Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

Hakuna Cha risiti Wala Cha Nini!hata dawa ulizoandikiwa utaona tu zinatoka dirishani kwa hiyo nesi pharmacist akiamua kukuibia nyingine hujui,wanadai Mambo Ni digital
Baada ya two weeks utaambiwa tar fulan ulitumia 200,000kama una waswas na muamala piga namba Hizi..so chukua Hatua penda nchi yako
 
Binti ni binadamu. Hata Samia, Hilary, Merkel na wengine walikuwa mabinti.

Tunawashangaa mashoga siyo mabinti.

Pole ndugu, shoga kwenye ubora wako 🤣🤣
Inaonekana umefirw mpaka mida wote unawaza ushoga tu
 
He Bora huko mnapewa hata hayo makaratasi Mimi hospital ninazoenda napewa ki mashine nisign,nilikuwa nawaza Jambo Kama hili
Ni paperless hospital au inatumia makaratasi?
 
Nilioenda nilienda rufaa mbeya, baada ya matibabu zikaja sms na cost za huduma
 
Hyo ni agha khan ya wapi...au Peponi huko. Acha kusikiliza radio mbaoo.. me ni mwaka agha khan tunapokea hyo bima bila shida.. ni moja ya Bima inayotupa pesa nyingi
Poly clinics ndo hupokea
 
Aah wakikupa hesabu wanaogopa hautarudi eti😂😂😂😂

Hospitali siku hizi ni very costful ni kuomba MUNGU tu usiumwe
 
Na si hilo tu itapendeza meseji za matibabu ziingiazo katika simu zionyeshe aina ya matibabu,dawa na gharama zilizotumika na si kutujulisha tu kuwa kadi yako imetumika tarehe fulani.
Hili ndio la msingi haswa, kwamba kila watacho submit basi mgonjwa naye akipate. Usije kutwa umefanyiwa operation wakati hujawahi
 
Aah wakikupa hesabu wanaogopa hautarudi eti😂😂😂😂

Hospitali siku hizi ni very costful ni kuomba MUNGU tu usiumwe
😂😂😂😂Sio uongo, average wise hospitali ya wilaya mgongwa anatumia about 20,000/= to 25,000/= na ya rufaa anatumia 60,000/= na above.
 
Hili swala la watoa huduma kukatalia majibu ya mgonjwa sio sawa, mgonjwa anapaswa pewa majibu yake akakae nayo na sio kumsukumia midawa
 
Then ilitakiwa upate receipt ya matibabu kupitia sms. Maana wao hawana kuingiza madai baadae yanaingia moja kwa moja.
Sasa sms inakuja baadae!kifupi Kuna ubabaifu mwingi
 
Hili ni wazo zuri
Ili huu mfuko uweze NHIF yatakiwa izingatie hilo swala.
Kwamba hospital lazima impe mgonjwa karatasi za matibabu
Hospital impe mgonjwa bill aisome ndio aweke saini
Mgonjwa atumiwe meseji na NHIF kuhusiana na bill yake
 
Back
Top Bottom