Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Acha kutetea ujinga, hospital nyingi Hasa private kujiendesha kwao wanategemea NHIF..so Kama wanaona pesa hailipi wachukue wateja wa cash ndan ya mwezi watafunga huduma..ndo maana wanakuwa wajanja janja..
NHIF ukiwaedekeza Kama una kakituo kako, utafirisika asubuhi tu.
Mfano:
Kidonge Cha Paracetamol, wao wanalipa Tsh 20 kimoja.
Magnesium, Chlorpheni Tsh 10 kwa kidonge.
Wound dressing/stitches Tsh 2000.
Na bado ukitoa huduma nusu ya Pesa utakadai ITAKATWA utapewa nusu kwa vijisababu kibao.
Sasa ukikomaa nao, ndani ya miezi 6 tu utajikuta hata pesa ya KULIPA DAWA au kulipa wafanyakazi HUNA.