Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Hivi unajua hujakatazwa na receipt unatakiwa upewe maana ni haki yako[emoji23][emoji23][emoji23].NHIF yatakiwa itoe ruhusa ya mwananchi kuhakiki huduma alizopewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua hujakatazwa na receipt unatakiwa upewe maana ni haki yako[emoji23][emoji23][emoji23].NHIF yatakiwa itoe ruhusa ya mwananchi kuhakiki huduma alizopewa
Sasa sijaona wahusika wanafaidikaje hapo Chief [emoji23][emoji23].hili la bima ya afya hasa hii NHIF niliwahi kufanya chunguzi zangu za kiakili nikaona ni win win situation kati ya mahospitali na wahusika, ila mzigo kamili unakuja kwa serikali.
ukienda hospitali za serikali haina shida sana kwenye huu upotevu labda wawe wanaiba ngazi za juu huko. ila hizi za private hadi madoctor wanaelewa wajibu wao wa kuingizia pesa hospital yao kupitia huu mfuko.
kwa mfano umeenda kutibiwa meno, ukiulizwa tu kama unavidonda vya tumbo haijalishi jibu gani umetoa kule kwenye form ishaandikwa kipimo tayari.
unaweza ukawa unafanyiwa minor surgery leo wakakuexamine tu na maandalizi madogo then utaambiwa uje wik ijayo kuziba. wakati huo wameshakuandikia gharama za kumuona doctor na wanakuandikia gharama ya surgery hata kama hujafanyiwa, na ukija wik ijayo unaandikiwa tena.
unaweza ukapewa madawa hata kama hujaenda kwaajili ya ugonjwa huo. utaulizwa kama una gas tumboni, ukijibu umeenda na maji. kama una tatizo la mifupa ukijibu umeenda.
Hata bila huo mfumo, mfumo wa bima wenyewe kuna sehemu ya kutoa risiti waambieni wawape.Tokeni kwenye Kazi za makaratasi hamieni kwenye Technology.
Tengenezeni mifumo hospital na vituo vya afya vyote viwe vinatumia hiyo mifumo. Mteja alipewa huduma anaetumiwa stakabadhi kwenye simu kama meseji muone kama kutakuwa na janja janja tena.
nhhshdhd
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Itasaidia kwakweliMkuu wewe andaa email tuma wizara ya afya cc takukuru na ikulu
Ulichukua hatua gani?Nimewahi kumpeleka Mtoto kumwona Dokta wa kawaida kabisa, ila ilikuwa ni ishu ya Ngozi, akaandikiwa vidawa viwili vya kupaka, DLDM vinauzwaga 3000.
Baada ya muda natumiwa sms kuwa yale matibabu yaligharimu Tsh. 90,000.
Funga maana fomu ni yako ilimradi usichafue kwingine kokote, wakikasirika niwao.Wanaongeza bill ukitoka kwa nini hesabu hazifungwi ukiwepo na ukiwaambia fungeni hesabu huwa hawapendi lakini mimi nishazoea kuwaambia..
Braza utafungwa[emoji23][emoji23][emoji23], we haya. Mtanzania kwakutengeneza conspiracy hamjambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anayemiliki NHIF, ni mali ya serikari na ipo chini ya wizara ya afya boss. Pili, vikao vinafanyika vingi sana ila wewe ndio huvioni maana ni internal work mtumishi kamwe siruhusa kutoa habari hizo ila management na bodi yenyewe. Tatu, hizo ankara zinathibitishwa kiasi ambacho imefikia hospitali nyingine za private kutohudumia members wa NHIF. Ndio maana nikakwambia chief, kama unaona kitu hukielewi bora upige simu au uende kwenye ofisi zao kulikoni kuzusha kitu, utafungwa boss😂😂😂. Sisi tunakucheki tu!Bima hii ingekuwa inamilikiwa na watu binafsi:
1. Isingehoji ankara hizi kutokuwa na namna ya kuthibitishwa na wao?
2. Isingehoji kwanini bei ni za kupindukia kiasi hiki?
Palikuwa na haja mwenye kuimiliki NHIF asiwe pia mmiliki wa hospitali.
Sio kwa hospital zote.Hata bila huo mfumo, mfumo wa bima wenyewe kuna sehemu ya kutoa risiti waambieni wawape.
No inawezekana kwa hospitali zote ila kuna watoa huduma hawajui iyo process maana mfumo wanaotumia kuingizia madai ya bima ndiyo huohuo wa kutolea receipt. Nakila hospitali inaingiza madai yao wenyewe, na huo mfumo si wa hospitali bali ni wa serikari.Sio kwa hospital zote.
Risiti ni nzuri na itasaidia endapo utapata tatizo kutokana na huduma uliyopewa
Mfano, Agha Khan hawapokei NHIF Kwasababu ni kibima takataka kabisaHakuna anayemiliki NHIF, ni mali ya serikari na ipo chini ya wizara ya afya boss. Pili, vikao vinafanyika vingi sana ila wewe ndio huvioni maana ni internal work mtumishi kamwe siruhusa kutoa habari hizo ila management na bodi yenyewe. Tatu, hizo ankara zinathibitishwa kiasi ambacho imefikia hospitali nyingine za private kutohudumia members wa NHIF. Ndio maana nikakwambia chief, kama unaona kitu hukielewi bora upige simu au uende kwenye ofisi zao kulikoni kuzusha kitu, utafungwa boss😂😂😂. Sisi tunakucheki tu!
I second you brother 😂😂😂Mfano, Agha Khan hawapokei NHIF Kwasababu ni kibima takataka kabisa
Upo sahihi Mkuu...Funga maana fomu ni yako ilimradi usichafue kwingine kokote, wakikasirika niwao.
Hakuna anayemiliki NHIF, ni mali ya serikari na ipo chini ya wizara ya afya boss. Pili, vikao vinafanyika vingi sana ila wewe ndio huvioni maana ni internal work mtumishi kamwe siruhusa kutoa habari hizo ila management na bodi yenyewe. Tatu, hizo ankara zinathibitishwa kiasi ambacho imefikia hospitali nyingine za private kutohudumia members wa NHIF. Ndio maana nikakwambia chief, kama unaona kitu hukielewi bora upige simu au uende kwenye ofisi zao kulikoni kuzusha kitu, utafungwa boss😂😂😂. Sisi tunakucheki tu!
Mfano, Agha Khan hawapokei NHIF Kwasababu ni kibima takataka kabisa
Unapenda sana kutype, lakini vidole vyako havina ushirikiano kabisa na kichwa chako.Kulikoni kunifunga miye mwenye kuhoji tu uhalali na kuyaacha majambazi yakiranda randa mitaani? Kwanini kutishana?
View attachment 2536630
Fuko alilobeba Mheshimiwa huyo bila shaka na NHIF imo.
Kama unayo majibu, kulikuwa na uzi hapa wenye kuhoji pia:
Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?
Si myatoe majibu? Au nia yenu ni kutuhamasisha kuona tunapiga simu Ili tuingie kwenye 18 zenu?
Ninakuona unavyokenua. Bila shaka ukijiaminisha kuwa huenda sasa mtego karibu unanasa?
Ninakazia:
Tatizo letu ni serikali isiyoaminika kumiliki NHIF na hospitali hizi kwa pamoja. Badala ya kufanikisha tiba Kwa wote lengo limekuwa kupanua wigo wa mapato Kwa wote.
Nakuaminia braza, mimi mchangia hoja kama mtu mwingine sasa unaniandama ili iweje. Kumbe unajua shida ni serikari yako. Ndio maana nikakwambia kama kweli unania ya kuhoji, wizara ya afya ipo nenda kaulize upate jibu ila kutengeneza jibu lako, chief utajifunga. Halafu sijakutisha ni tahadhari, yaani unatishika mtandaoni aisee😂😂😂. Jibu umejipa vizuri paragraph ya mwisho. Ikipanua matibabu tuipe hongera maana hospitali zinavyoendeshwa kwa misamaha hadi zimeshuka kiwango huku mikoani. Braza braza.Kulikoni kunifunga miye mwenye kuhoji uhalali na kuyaacha majambazi yakiranda randa mitaani? Kwanini kutishana?
View attachment 2536630
Fuko alilobeba Mheshimiwa bila shaka na NHIF imo.
Kama unayo majibu kulikuwa na uzi hapa wenye kuhoji pia:
Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?
Si mtoe majibu? Au nia yenu ni kutuhamasisha kuona tunqpiga simu Ili tuingie kwenye 18 zenu?
Ninakuona unavyokenua. Bila shaka ukijiaminisha mtego karibu unanasa?
Ninakazia:
Tatizo letu ni serikali isiyoaminika kumiliki NHIF na hospitali hizi kwa pamoja. Badala ya kufanikisha tiba Kwa wote lengo limekuwa kupanua wigo wa mapato Kwa wote.
😂😂😂 kuna watu wewe furahi nao tu, utafanyaje sasa.Unapenda sana kutype, lakini vidole vyako havina ushirikiano kabisa na kichwa chako.
Unapenda sana kutype, lakini vidole vyako havina ushirikiano kabisa na kichwa chako.