Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

Na tatizo lingine ni hospital kukatalia document zetu za matibabu
 
Huo mchezo sana yaani halafu pale wakiandika wanafanya kama kukuziba wewe utaitwa kusaini tu...Sasa njoo uangalie hyo fomu imejazwa mavitu kibao ila dawa umepewa chache wengi ujanja ni mwingi sana.

Kule bank zile slip zake lazima ufungie kabisa kuonyesha hakuna entries nyingine kimahesabu kwa vile wengi hawajasoma book keeping hawajui...Maana kwa tuliosma hayo masomo kimahesabu usipofungia ni kosa ufunge usawa kabla ya balance b/d na c/d ...

Watu Wanafungia ili kuepuka mtu kupenyeza forgery amounts or entries ..kama hospital wanataandika vitu kwa muandiko wao wa ovyo hutoelewa kama sio mtu mambo ya udaktari then wataweka amount ila wewe hujui hta kilichoandikwa pale .
 
Nilienda hospital moja Januari ile sehumu ya mteja kusaini sikupewa kusaini. Baada ya wiki nikarudi, kwa "bahati mbaya" ile fomu ikapita mbele ya macho yangu. Nilichokiona nilishangaa sana! Imeshasainiwa na hiyo amount iliyowekwa hapo sasa! Wakati nilipima tu malaria na kupewa panadol na vijimseto fulani hivi.
 
Bora hata huko mnapewa hizo form huku niliko nahudumiwa mwisho nikitaka card naambiwa ni sign kwenye ki mashine hata huwezi jua gharama zilizotumika maana hatuzioni kabisa form zaidi tunapewa vi paper vya number
Vihospitali binafsi vinacheza sana hii michezo! Wanapiga pesa kweli kweli.
 
Huo mchezo sana yaani halafu pale wakiandika wanafanya kama kukuziba wewe utaitwa kusaini tu...Sasa njoo uangalie hyo fomu imejazwa mavitu kibao ila dawa umepewa chache wengi ujanja ni mwingi sana.

Kule bank zile slip zake lazima ufungie kabisa kuonyesha hakuna entries nyingine kimahesabu kwa vile wengi hawajasoma book keeping hawajui...Maana kwa tuliosma hayo masomo kimahesabu usipofungia ni kosa ufunge usawa kabla ya balance b/d na c/d ...

Watu Wanafungia ili kuepuka mtu kupenyeza forgery amounts or entries ..kama hospital wanataandika vitu kwa muandiko wao wa ovyo hutoelewa kama sio mtu mambo ya udaktari then wataweka amount ila wewe hujui hta kilichoandikwa pale .
Usilete masomo vitabu kwenye sayansi
Form zile zinatumia ICD code
Simply ni kwamba kipimo na matibabu lazima viendane na ijulikane Daktari alikuwa unatibu Nini, na Kuna muongozo wa government kwa kila ugonjwa ukikiukwa unakatwa hawakulipi
Nikikuibia nakuibia kisomi , ata surgery inajulikana na uwa wanapiga simu randomly kwa wahusika
Pia bima wameajira madaktari ndio wanakagua hawezi kukuweka mtu kama wewe
 
🤣🤣🤣 Sasa kwanza tangu lini wamasai wakaenda hospital? Hauna haki ya kuchangia nenda kwa watu wa miti shamba hata kadi ya bima hauna.

Kwanza umeandika nn mbona hueleweki!

Hiyo hapo chini ni copy niliondoka nayo sasa angalia hapo then niambie gharama gani na hapo hizo quantities ni tofauti na hiyo hospital ni private...

Unaleta chuki hata sijui kama kitu hujui..

Kwa taarifa yako taasisi yetu tuna bima Ina cover mpaka hizi surgery sema wanakulipia kiasi cha asilimia na ni special high class sio Bima za uchochoroni

Screenshot_20230303-102324.png
 
🤣🤣🤣 Sasa kwanza tangu lini wamasai wakaenda hospital? Hauna haki ya kuchangia nenda kwa watu wa miti shamba hata kadi ya bima hauna.

Kwanza umeandika nn mbona hueleweki!

Hyo hapo chini ni copy niliondoka nayo sasa angalia hapo then niambie gharama gani na hapo hizo quantities ni tofauti na hyo hospital ni private...

Unaleta chuki hata sijui kama kitu hujui..

Kwa taarifa yako taasisi yetu tuna bima Ina cover mpaka hizi surgery sema wanakulipia kiasi cha asilimia na ni special high class sio Bima za uchochoroni

View attachment 2535631
Uache kupiga mbupu hovyo ona sasa umetibiwa kisonono 😂😂😂😂😂

Nimekujibu kisayansi wewe unaleta mambo ya kutunza vitabu (book keeping)

Nimekwambia kila ugonjwa serekali imeweka SOP ya matibabu yake ukikiuka wanakata form nzima hawalipi

Form Yako inaenda kufanyiwa hesabu ,
Hospital chache kwa sasa ndio zina pick direct kwenda kwao, mifumo michache ndio imeweza kuunga moja kwa moja na NHIF, kumbuka kila hospitali Ina mfumo wake wa computer
 
NHIF yatakiwa itoe ruhusa ya mwananchi kuhakiki huduma alizopewa
 
Uache kupiga mbupu hovyo ona sasa umetibiwa kisonono 😂😂😂😂😂

Nimekujibu kisayansi wewe unaleta mambo ya kutunza vitabu (book keeping)

Nimekwambia kila ugonjwa serekali imeweka SOP ya matibabu yake ukikiuka wanakata form nzima hawalipi

Form Yako inaenda kufanyiwa hesabu ,
Hospital chache kwa sasa ndio zina pick direct kwenda kwao , mifumo michache ndio imeweza kuunga moja kwa moja na nhif , kumbuka kila hospital Ina mfumo wake wa computer
Sijawahi kuwa na huo ugonjwa wala sipo obsessed na mambo ya ngono najielewa na siwezi kupata hayo mangonjwa ng'o .
.Hakuna huo ugonjwa naumwaga kwa magonjwa ya kimjini sio malaria sijui kuhara ,Gon ...Mimi Mafua Tena siku hizi za jua kali na kukohoa.

Sasa nilichokuwa naandika ulikuwa unaelewa au unataka nikujuze

Umeona hapo chini kweny jedwari kama umefuatilia iliyejaza utajua kama muhuni fulani hana professional ila sio kwamba hajui ila anafanya ujinga ili kufanya upigaji .

Hata ukisoma mambo ya udaktari lazima usome masomo kama sijakosea yenye ishu za finance kwa mbali sasa umeona hapo lazima mtu atumie knowledge ya kujaza hapo ukiangalia hata mwisho hawajaandika kiasi gani kimetumika kwamba description yao ni fake hawapo direct ,sasa bahati ya kutoka hapo baadae kiasi kilichotumika duh huwezi kuamini.

Yaani hilo table karuka ruka sijakuonyesha zipo kibao hizo fomu za miaka mingi wanajaza tu hovyo ili mradi tu
 
Sasa si wanajaza manual 🤣🤣ndo Yale Yale huku unapewa vitu vingine kweny hizo karatasi zao kweny portal kule wanajaza vingine ..

Hata wanavyojaza kweny NHIF portal ya online wewe huoni ng'o utaishia kupewa makatasi ambayo hajafungiwa mahesabu hata baada ukitoka na copy wanaweza kubadili na hakuna kitu utafanya maana hawajafunga , kwa kutokufunga kwa principal za kimehesabu ni kuleta forgery entries na uwizi

Maoni👉 sijajua wengine kama wanapokea meseji ya gharama na mchanganuo
 
Sijawahi kuwa na huo ugonjwa wala sipo obsessed na mambo ya ngono najielewa na siwezi kupata hayo mangonjwa ng'o .
.Hakuna huo ugonjwa naumwaga kwa magonjwa ya kimjini sio malaria sijui kuhara ,Gon ...Mimi Mafua Tena siku hizi za jua kali na kukohoa.

Sasa nilichokuwa naandika ulikuwa unaelewa au unataka nikujuze

Umeona hapo chini kweny jedwari kama umefuatilia iliyejaza utajua kama muhuni fulani hana professional ila sio kwamba hajui ila anafanya ujinga ili kufanya upigaji .

Hata ukisoma mambo ya udaktari lazima usome masomo kama sijakosea yenye ishu za finance kwa mbali sasa umeona hapo lazima mtu atumie knowledge ya kujaza hapo ukiangalia hata mwisho hawajaandika kiasi gani kimetumika kwamba description yao ni fake hawapo direct ,sasa bahati ya kutoka hapo baadae kiasi kilichotumika duh huwezi kuamini.

Yaani hilo table karuka ruka sijakuonyesha zipo kibao hizo fomu za miaka mingi wanajaza tu hovyo ili mradi tu
Hiyo dawa kuwa nayo makini inaharibu kongosho

Hesabu inafanyika mwisho kwa sababu kuu mifumo mingi ya hospitals haija link na mfumo wa nhif

Nhif Wana price zao tofauti na hospital nyingi

Mfumo wa claim wa nhif ndio unatoa price na hautumiki kwenye hospital kama mfumo wa kutibu

Hospital zilizo link hakuna hizo form ,Yani ni paper less
 
Sasa hapo kama hawajafunga hata kama nimeondoka na copy je si wanaweza kuingiza entries nyingine kwenye ile fomu waliyobaki nayo?

Sijajua kama meseji zinakuja na mchanganuo wa gharama kwa sasa maana hiyo ni muda kama mwaka Jana mwanzoni.

Maana natumia tu meseji bila ya mchanganuo na wanavyojaza kule kweny NHIF online portal huoni ng'o hapa ndo uwizi unaposhamiri.
 
Kibima chenyewe watu huwa waakipokea kwa Basi tu.

Yaani mtu na kibima chako Cha NHIF unaona Kama unaibiwa kinoma 🤣🤣

Aisee

Mngekuwa mnajua hata huko hospital kwenyewe hao NHIF hawataki mwende ili wasilipe chochote.

Ningekuwa Mimi Daktari ukileta ubush lawyers nakuandikia Paracetamol tu, Dawa nyingine zote UTALIPIA hakuna Cha NHIF na hakuna kitu utafanya
 
Wengi tunasign haraka haraka bila kuzisoma form maana unakuta unaambiwa harakisha kuna foleni ndefu na hapo unaumwa mpaka uje ukumbuke kuzisoma ushatoka nje ya jengo
 
Sasa hapo kama hawajafunga hata kama nimeondoka na copy je si wanaweza kuingiza entries nyingine kweny ile fomu waliyobaki nayo?
Labda kama wakujazie ugonjwa tofauti ICD code zinatambulisha umetibiwa Nini, na government ya Tanzania imeweka SOP kila ugonjwa na dawa zake ukikiuka form nzima hailipwi

Kila kilimo lazima iweke code ulitaka kuangalia nini na mwisho unaweka code umetibiwa nini na matibabu dawa unazotakiwa kutoa zinajulikana ukienda kinyume wanakata form nzima
 
Hospitali ya Moyo Muhimbili kila kitu kwa kompyuta daktari akiandika dawa au vipimo gharama zinajazwa kidigitali unaziona uki siqn kuchukua dawa.

Nadhani mfumo huu ungehusisha vituo vyote vya huduma
 
Hospitali ya Moyo Muhimbili kila kitu kwa kompyuta daktari akiandika dawa au vipimo gharama zinajazwa kidigitali unaziona uki siqn kuchukua dawa .

Tanzania hakuna standardize computer system, kila hospital Ina mfumo wake
Walioweza ku synchronize na nhif ndio hao wachache unakuta ni paper less
 
Hospitali ya Moyo Muhimbili kila kitu kwa kompyuta daktari akiandika dawa au vipimo gharama zinajazwa kidigitali unaziona uki siqn kuchukua dawa .
Nadhani mfumo huu ungehusisha vituo vyote vya huduma
Tanzania hakuna standardize computer system, kila hospital Ina mfumo wake
Walioweza ku synchronize na nhif ndio ao wachache unakuta ni paper less
 
Labda kama wakujazie ugonjwa tofauti ICD code zinatambulisha umetibiwa Nini , na government ya Tanzania imeweka SOP kila ugonjwa na dawa zake ukikiuka form nzima hailipwi

Kila kilimo lazima iweke code ulitaka kuangalia nini na mwisho unaweka code umetibiwa nini na matibabu dawa unazotakiwa kutoa zinajulikana ukienda kinyume wanakata form nzima
Hiyo fomu niliyotuma umeona je hakuna mkosa hapo?
 
Back
Top Bottom