Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

SIKU HIZI JF IMEKUWA YA WANAFIKI NA WAJINGA,MTOA UZI KAELEZA POINT ZAKE ILI MUELIMIKE NA KUJUA KUWA KUNA FAIDA YA KULINDWA NA MIZIMU

NYIE MNAKUJA NA PUMBA KIBAO HAPA

KAMA UNA HOJA TOFAUTI JIBU HOJA NA SIYO MATUSI NA KUROPOKA PUMBA ZILIZOLOWA


PUMBAVU ZENU
 
Ni kweli hatuwezi kukupinga.Kuna nguvu katika nafsi nahii inaweza kutokea katika hali ya Mazingira uliyokulia,lakin pili katika koo.na tatu katika imani.Sasa kuelezea na maelezo ni mengi kidogo.ila tambua ili nafsi itambulike ni vitu vitatu.yaan mazingira,koo na imani.sasa unaweza kuwa na nguvu kutokana na hivyo vitu.mfano kuna koo magonjwa kwao mwiko na hauwezi kusikia,kwanini huwez kusikia nguvu za magonjwa zilifungwa.Sasa kwenye imani huko ndiko saidi ila sasa kweli uwe na imani sio ubabaisha
 
Baba yake na Babu yangu Wote walikuwa ni Machifu katika Ngome za Wazanaki.

Baadae Watoto Wao ( yaani Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ) na Baba yangu mkubwa ( nalihifadhi Jina lake japo nae sasa ni Marehemu kama ilivyo kwa Mwalimu Nyerere ) kutokana na Urafiki wao mkubwa tokea Utotoni waliamua kuwa Ndugu kabisa.

Ili Kukamilisha adhma yao hiyo ya kuwa Ndugu Kamili Wawili hawa waliwaambia Baba zao ( Baba yake Mwalimu Nyerere na Babu yangu ) ambapo waliwaelewa kisha wakaitwa Wazee wa Kimila kisha Mwalimu Nyerere na Baba yangu Mkubwa Wakachanjwa na Damu zao Kuchanganywa na kuwa Ndugu rasmi.

Hivyo mpaka hii leo Ukoo wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Ukoo wangu GENTAMYCINE wanashirikiana kwa kila Jambo / Tukio huku tukitembelea na Kujaliana kwa hali na Mali.

Na hata Jina langu aliyenipa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa wa Kwanza kuja Kunibeba nilipozaliwa Agha Khan Hospital akitokea Jirani tu Ikulu ya Magogoni.

Nadhani nimekujibu kwa Ufafanuzi.
Utakuwa ni mwikizu bila shaka
 
Hii ni kweli kabisa,Mimi nishaitwa Freemason kwani kila Jambo wanalofanya juu yangu linawarudia wenyewe.
 
Back
Top Bottom