GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Hovyoooooooo....!!!!!!Yeah, mpumbavu mimi nimeenjoy sana [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyoooooooo....!!!!!!Yeah, mpumbavu mimi nimeenjoy sana [emoji23][emoji23]
Kwa Kujibizana na Wewe Shoga au?unajiabisha mzee kugombana na vjana
Ila mkuu hongera sana, huwa unawashika sana matahira humu[emoji23][emoji23][emoji23]Hovyoooooooo....!!!!!!
kinachoumiza unafosi kuharibikia ukubwani, utoton umekaza ukubwan unarusha tauloKwa Kujibizana na Wewe Shoga au?
Pamoja na Wewe Taahira Mwandamizi.Ila mkuu hongera sana, huwa unawashika sana matahira humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Unachofosi Wewe Shoga ni kutaka Kukandwa nami wakati Mimi siyo Mdau wa huo Upumbavu.kinachoumiza unafosi kuharibikia ukubwani, utoton umekaza ukubwan unarusha taulo
SawaUnachofosi Wewe Shoga ni kutaka Kukandwa nami wakati Mimi siyo Mdau wa huo Upumbavu.
Cc: Munch wa annabelletz47SIKU HIZI JF IMEKUWA YA WANAFIKI NA WAJINGA,MTOA UZI KAELEZA POINT ZAKE ILI MUELIMIKE NA KUJUA KUWA KUNA FAIDA YA KULINDWA NA MIZIMU
NYIE MNAKUJA NA PUMBA KIBAO HAPA
KAMA UNA HOJA TOFAUTI JIBU HOJA NA SIYO MATUSI NA KUROPOKA PUMBA ZILIZOLOWA
PUMBAVU ZENU
Yeah, na huwa unafanya kijiwe chetu kichangamke sana, bila hizi mbanga siku inapita kinyonge sanaPamoja na Wewe Taahira Mwandamizi.
Kakandwe.Sawa
InshallahKakandwe.
Amen.Inshallah
Utakuwa ni mwikizu bila shakaBaba yake na Babu yangu Wote walikuwa ni Machifu katika Ngome za Wazanaki.
Baadae Watoto Wao ( yaani Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ) na Baba yangu mkubwa ( nalihifadhi Jina lake japo nae sasa ni Marehemu kama ilivyo kwa Mwalimu Nyerere ) kutokana na Urafiki wao mkubwa tokea Utotoni waliamua kuwa Ndugu kabisa.
Ili Kukamilisha adhma yao hiyo ya kuwa Ndugu Kamili Wawili hawa waliwaambia Baba zao ( Baba yake Mwalimu Nyerere na Babu yangu ) ambapo waliwaelewa kisha wakaitwa Wazee wa Kimila kisha Mwalimu Nyerere na Baba yangu Mkubwa Wakachanjwa na Damu zao Kuchanganywa na kuwa Ndugu rasmi.
Hivyo mpaka hii leo Ukoo wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Ukoo wangu GENTAMYCINE wanashirikiana kwa kila Jambo / Tukio huku tukitembelea na Kujaliana kwa hali na Mali.
Na hata Jina langu aliyenipa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa wa Kwanza kuja Kunibeba nilipozaliwa Agha Khan Hospital akitokea Jirani tu Ikulu ya Magogoni.
Nadhani nimekujibu kwa Ufafanuzi.