Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

Kuna mtu atakuja kuanguka kwenye mikutano yake! Maana kila mbinu anayotumia inafeli, tume nayo imeingilia kati naamini itafeli tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Mkurugenzi wa Tume yuko sahihi anayajua mahitaji ya Watanzania, Usijilinganishe na Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi eti nani alimwambia hayo, yeye anavyo pia vyanzo vingi vya taarifa na mimi niko tayari kusimama Mahakamani kama shahidi wa Mkurugenzi wa Tume kutetea hayo mahitaji ya Watanzania aliyoyataja Mkurugenzi wa Tume. Mgombea anasimama na kujinadi eti nitawaletea uhuru wa kujieleza, kwani uhuru huo haupo? Mbona hapa tunajieleza. Eti nitawakomboa, anatukomboa kwa jambo lipi wakati Tanganyika tulishaikomboa nchi yetu tangu 1961. Eti nitaleta maendeleo ya watu na siyo vitu. Kwa akili ya kawaida huwezi kutenganisha maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mgombea huyo huyo akajisahau alipokuwa Iringa akaahidi kuwajengea wanakiki barabara, tukajiuliza kwamba hizi risasi za paja alizopigwa na genge lake zimemuathiri hadi ubongo maana anapoteza kumbukumbu kwamba hataki barabara zijengwe lakini leo hii anaahidi kujenga barabara. Mitano tena kwa Magufuli na baada ya hiyo mitano tunamuongezea bonasi ya mingine mitano
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
NECCCM Tumeccm ni mali binafsi ya CCM sasa na wao wapo kwenye kampeni kumtetea mbunge wa chato waziri wa madini anayefaidi madini pamoja na mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Simple tu,nimekutoa huko usweken nikakupa ukurugenzi wa NEC,halafu mimi nagombea...wewe unasimamia uchaguzi,utakuwa upande wa nani? Kwangu au kwa mpinzani wangu? Ni jibu na wewe hili swali.,..mlileta hoja ya tume huru ya uchaguzi,ikaishia hewani,kwanini muingie kwenye uchaguzi usio huru? Dude .....
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM hawana haki ya kusimamia uchaguzi mkuu tena
 
Ndio mpambanie katiba ili mpate tume huru,sio sasa hivi mnatumia nguvu nyingi kutafuta kitu ambacho hamuwezi kukipata.
 
Hivi akina Kibatala hawawezi kupeleka hoja mahakamani kwa hati ya dharura ya kuomba mkurugenzi huyu aondoelewe katika nafasi hiyo kabla ya siku ya uchaguzi? Najiuliza tu, kama inawezekana kisheria.
Hilo linawezekana kabsa ni bora lifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha

Ni ushahidi tosha kuwa tume ya uchaguzi sio huru kabisa.
 
Hivi akina Kibatala hawawezi kupeleka hoja mahakamani kwa hati ya dharura ya kuomba mkurugenzi huyu aondoelewe katika nafasi hiyo kabla ya siku ya uchaguzi? Najiuliza tu, kama inawezekana kisheria.

Katiba inailinda tume kwa matendo yake ya aina yoyote ile - mbaya sana.
 
Acha woga kapige kura, mwaka huu meza inapinduliwa
Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23], ffaakkenn!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
 
Lini sheria iliwahi kuleta maendeleo? Taja nchi moja tu iliyoendelea kwa sababu ya sheria nzuri saaana! Tusifuate mkumbo wa mtu aliyeshindwa sayansi na kukimbilia kukariri vifungu vya sheria. Ipi hiyo iliyozuia maendeleo hapa TZ?
Utajiwe Nchi ili iweje wakati wewe mwenyewe hujitambui hujielewi unaezaje kujua Nchi zilizoendelea kwa kuzingatia misingi ya Sheria na haki, mkumbo upi ulioshindwa? acha kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zote
 
Hawajui hata majukumu ya Tume. Ukitaka waelewe waulize umuhimu wa refa, maana wote kila siku ni yanga na simba tu.
Tumeccm NECCCM haina umuhimu kwani siyo refa ni chombo binafsi cha CCM
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Hayo aliyosema Mkurugenzi wa Uchaguzi ni makatazo kama yalivyo ndani ya Kanuni na Taratibu walizokubaliana wadau wa Uchaguzi huu wa 2020. Wadau hao ni pamoja na vyama vya siasa, serikali na NEC, wote walitia sahihi makubaliano hayo ambayo yanawataka wadau kuyaheshimu na kuyaishi. Makubaliano hayo, pamoja na mambo mengine ni kutumia lugha ya staha au kistaarabu, kuepuka UCHOCHEZI, UONGO na UZUSHI. Hayo matatu ndiyo amekuwa anayasema Lissu popote apitapo badala ya kusema sera za CHADEMA. Kwa vile hazipo, basi Lissu kajikita kwenye uongo, uzushi na kuzungumzia mtu/watu binafsi! Hivyo Mkurugenzi wa Uchaguzi kama "refa" ana haki ya kukemea hayo.

Zaidi ya hayo, CCM na mgombea wao wa Urais hawawezi kumkemea Lissu, hiyo ni kazi ya NEC; hao ndio wanaweza na ndicho walichofanya. LAKINI kwa sababu Lissu anayo maelekezo maalum kutoka kwa akina AMSTERDAM, basi hasikii na hasa hasa ukitilia maanani kuwa akina Amsterdam wana MONITOR asemayo na aropokayo kwa maelekezo ya hao mabeberu, kupitia kamtambo kadogo alikofungiwa Lissu, hivyo HAWEZI KUACHA UPUUZI HUO. This is because he is paid to do that kwa nia na lengo la kuuvuruga uchaguzi wetu. Hiki kinaonekana na namna viongozi wote wakuu wa CHADEMA walivyo mtenga na kumuacha Lissu on his own; wamemuacha aendelee na mabeberu wake kwani wao (hao viongozi wakuu wa CHADEMA) hawana mahali popote pa kukimbilia kutokana na mipango ya Lissu ya kutaka kuleta vurugu nchini. Huu ndio UHALISIA wa mambo ya Lissu, CHADEMA na akina AMSTERDAM. Nawasilisha kwa mjadala wenye HOJA!
 
Tumeccm NECCCM haifanyi kazi kwa mjibu wa katiba na Sheria sasa bali inafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole, Hii Tumeccm huenda sasa ni Tume ya hovyo kupata kutokea Duniani
 
Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23], ffaakkenn!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?
 
Tume walishamuandaa mshindi wao Sasa hili nyomi hawakulitegemea pili kule kuna Robert Amsterdam kiboko ya madikteta ya afrika ana file case moja kwa moja the Hague, mabeberu wamechoka kuhudumia wakimbizi wasababishwao na hii midikteta iliyokosa malezi Bora utotoni.
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?
 
KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?
Sasa Tanzania kuna KANU?,hakuna mfanano wowote kati ya KANU na CHADEMA,pia siasa za Kenya ni tofauti sana na Tanzania.watanzania hatuna uthubutu....hodari mitandaoni tu.
 
Sasa nimejua kumbe nayo tume ina Ilani yake ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom