Mkurugenzi wa Tume yuko sahihi anayajua mahitaji ya Watanzania, Usijilinganishe na Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi eti nani alimwambia hayo, yeye anavyo pia vyanzo vingi vya taarifa na mimi niko tayari kusimama Mahakamani kama shahidi wa Mkurugenzi wa Tume kutetea hayo mahitaji ya Watanzania aliyoyataja Mkurugenzi wa Tume. Mgombea anasimama na kujinadi eti nitawaletea uhuru wa kujieleza, kwani uhuru huo haupo? Mbona hapa tunajieleza. Eti nitawakomboa, anatukomboa kwa jambo lipi wakati Tanganyika tulishaikomboa nchi yetu tangu 1961. Eti nitaleta maendeleo ya watu na siyo vitu. Kwa akili ya kawaida huwezi kutenganisha maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mgombea huyo huyo akajisahau alipokuwa Iringa akaahidi kuwajengea wanakiki barabara, tukajiuliza kwamba hizi risasi za paja alizopigwa na genge lake zimemuathiri hadi ubongo maana anapoteza kumbukumbu kwamba hataki barabara zijengwe lakini leo hii anaahidi kujenga barabara. Mitano tena kwa Magufuli na baada ya hiyo mitano tunamuongezea bonasi ya mingine mitanoWakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
NECCCM Tumeccm ni mali binafsi ya CCM sasa na wao wapo kwenye kampeni kumtetea mbunge wa chato waziri wa madini anayefaidi madini pamoja na mtukufu mwenyekiti wa CCMWakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM hawana haki ya kusimamia uchaguzi mkuu tenaSimple tu,nimekutoa huko usweken nikakupa ukurugenzi wa NEC,halafu mimi nagombea...wewe unasimamia uchaguzi,utakuwa upande wa nani? Kwangu au kwa mpinzani wangu? Ni jibu na wewe hili swali.,..mlileta hoja ya tume huru ya uchaguzi,ikaishia hewani,kwanini muingie kwenye uchaguzi usio huru? Dude .....
Ndio mpambanie katiba ili mpate tume huru,sio sasa hivi mnatumia nguvu nyingi kutafuta kitu ambacho hamuwezi kukipata.NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM hawana haki ya kusimamia uchaguzi mkuu tena
Hilo linawezekana kabsa ni bora lifanyiwe kazi haraka iwezekanavyoHivi akina Kibatala hawawezi kupeleka hoja mahakamani kwa hati ya dharura ya kuomba mkurugenzi huyu aondoelewe katika nafasi hiyo kabla ya siku ya uchaguzi? Najiuliza tu, kama inawezekana kisheria.
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
Hivi akina Kibatala hawawezi kupeleka hoja mahakamani kwa hati ya dharura ya kuomba mkurugenzi huyu aondoelewe katika nafasi hiyo kabla ya siku ya uchaguzi? Najiuliza tu, kama inawezekana kisheria.
Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23], ffaakkenn!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
Ndoto za mchana hizo mkuu,jeuri ya kupidua meza hakuna,ni kijifariji tu hapoAcha woga kapige kura, mwaka huu meza inapinduliwa
Utajiwe Nchi ili iweje wakati wewe mwenyewe hujitambui hujielewi unaezaje kujua Nchi zilizoendelea kwa kuzingatia misingi ya Sheria na haki, mkumbo upi ulioshindwa? acha kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zoteLini sheria iliwahi kuleta maendeleo? Taja nchi moja tu iliyoendelea kwa sababu ya sheria nzuri saaana! Tusifuate mkumbo wa mtu aliyeshindwa sayansi na kukimbilia kukariri vifungu vya sheria. Ipi hiyo iliyozuia maendeleo hapa TZ?
Tumeccm NECCCM haina umuhimu kwani siyo refa ni chombo binafsi cha CCMHawajui hata majukumu ya Tume. Ukitaka waelewe waulize umuhimu wa refa, maana wote kila siku ni yanga na simba tu.
Hayo aliyosema Mkurugenzi wa Uchaguzi ni makatazo kama yalivyo ndani ya Kanuni na Taratibu walizokubaliana wadau wa Uchaguzi huu wa 2020. Wadau hao ni pamoja na vyama vya siasa, serikali na NEC, wote walitia sahihi makubaliano hayo ambayo yanawataka wadau kuyaheshimu na kuyaishi. Makubaliano hayo, pamoja na mambo mengine ni kutumia lugha ya staha au kistaarabu, kuepuka UCHOCHEZI, UONGO na UZUSHI. Hayo matatu ndiyo amekuwa anayasema Lissu popote apitapo badala ya kusema sera za CHADEMA. Kwa vile hazipo, basi Lissu kajikita kwenye uongo, uzushi na kuzungumzia mtu/watu binafsi! Hivyo Mkurugenzi wa Uchaguzi kama "refa" ana haki ya kukemea hayo.Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23], ffaakkenn!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
Tume walishamuandaa mshindi wao Sasa hili nyomi hawakulitegemea pili kule kuna Robert Amsterdam kiboko ya madikteta ya afrika ana file case moja kwa moja the Hague, mabeberu wamechoka kuhudumia wakimbizi wasababishwao na hii midikteta iliyokosa malezi Bora utotoni.
KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
Sasa Tanzania kuna KANU?,hakuna mfanano wowote kati ya KANU na CHADEMA,pia siasa za Kenya ni tofauti sana na Tanzania.watanzania hatuna uthubutu....hodari mitandaoni tu.KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?