Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

Hayo aliyosema Mkurugenzi wa Uchaguzi ni makatazo kama yalivyo ndani ya Kanuni na Taratibu walizokubaliana wadau wa Uchaguzi huu wa 2020. Wadau hao ni pamoja na vyama vya siasa, serikali na NEC, wote walitia sahihi makubaliano hayo ambayo yanawataka wadau kuyaheshimu na kuyaishi. Makubaliano hayo, pamoja na mambo mengine ni kutumia lugha ya staha au kistaarabu, kuepuka UCHOCHEZI, UONGO na UZUSHI. Hayo matatu ndiyo amekuwa anayasema Lissu popote apitapo badala ya kusema sera za CHADEMA. Kwa vile hazipo, basi Lissu kajikita kwenye uongo, uzushi na kuzungumzia mtu/watu binafsi! Hivyo Mkurugenzi wa Uchaguzi kama "refa" ana haki ya kukemea hayo.

Zaidi ya hayo, CCM na mgombea wao wa Urais hawawezi kumkemea Lissu, hiyo ni kazi ya NEC; hao ndio wanaweza na ndicho walichofanya. LAKINI kwa sababu Lissu anayo maelekezo maalum kutoka kwa akina AMSTERDAM, basi hasikii na hasa hasa ukitilia maanani kuwa akina Amsterdam wana MONITOR asemayo na aropokayo kwa maelekezo ya hao mabeberu, kupitia kamtambo kadogo alikofungiwa Lissu, hivyo HAWEZI KUACHA UPUUZI HUO. This is because he is paid to do that kwa nia na lengo la kuuvuruga uchaguzi wetu. Hiki kinaonekana na namna viongozi wote wakuu wa CHADEMA walivyo mtenga na kumuacha Lissu on his own; wamemuacha aendelee na mabeberu wake kwani wao (hao viongozi wakuu wa CHADEMA) hawana mahali popote pa kukimbilia kutokana na mipango ya Lissu ya kutaka kuleta vurugu nchini. Huu ndio UHALISIA wa mambo ya Lissu, CHADEMA na akina AMSTERDAM. Nawasilisha kwa mjadala wenye HOJA!
CCM mkienda kuomba omba kutembeza bakuri kwa wazungu huwa mnawaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Mkuu ukisema kuna kifungu kimekiukwa lazima ukionyeshe la sivyo inabaki kuwa porojo.
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani lakini pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi zote zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji mwingi badala ya maendeleo, pesa iliyotumika kuua upinzani laita ingekuwa inapelekwa kwenye maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani na pengine ingekuwa na kura ya veto.
 
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?

Mbona Magufuli aliposema wananchi wachague mbunge wa CCM Kwakuwa anaweza kumshugulikia Kwani mbunge yuko chini ya Rais siku hizi. Bora hata Lissu anasema ukweli Kwani miswada ya sheria bungeni huwa inawasilishwa na nani kama siyo serikali
 
CCM ni ile ile ukoo wa panya kila mmoja anapiga kwa fursa yake hata sasa kupitia kuidhoofisha chadema akina polepole na wenzake wanalipwa mapesa mengi kwa kisingizio cha kuihujumu chadema, kila jambo huwa fursa huko CCM
 
Sasa Tanzania kuna KANU?,hakuna mfanano wowote kati ya KANU na CHADEMA,pia siasa za Kenya ni tofauti sana na Tanzania.watanzania hatuna uthubutu....hodari mitandaoni tu.
Tanzania ya sasa ina uthubutu kwani miaka mitano ya shida dhiki unyanyasaji uonevu uovu tokea CCM imewazundua watanzania kuwa wajanja hawataki kuburuzwa na ushetani wa CCM
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Muulize Tundu Lissu Mwilini mwake kifaa kilicho fail ku communicaty na waliomtuma.
 
Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23], ffaakkenn!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...

Kura zitapigwa na zitahesabiwa we subiri kama hujuwi nguvu ya umma mwaka huu utaiona
 
Lete HOJA, achana na VIOJA minyoo, as a JF expert Member! Acha kuropoka JF Expert Member, zitendeeni haki hizo nafasi humu JF!
Hoja ipi? Hoja kuu NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM na sasa kimedhihirisha hayo baada ya kuacha kumkanya polepole kwa kuwaita wapinzani misukule lakini wanamuandamama Lisu kwa maelekezo ya mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani lakini pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi zote zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji mwingi badala ya maendeleo, pesa iliyotumika kuua upinzani laita ingekuwa inapelekwa kwenye maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani na pengine ingekuwa na kura ya veto.
Haya uliyoandika ni kama yale asemayo Lissu huko kwenye majukwaa kwa faida ya akina AMSTERDAM, na wewe umeyakariri siyo?
 
Kura zitapigwa na zitahesabiwa we subiri kama hujuwi nguvu ya umma mwaka huu utaiona
Ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania ya sasa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo akina Elbashiri wa Sudan, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, mabutu, Iddy Amin dada wapo wapi sasa?
 
Tanzania ya sasa ina uthubutu kwani miaka mitano ya shida dhiki unyanyasaji uonevu uovu tokea CCM imewazundua watanzania kuwa wajanja hawataki kuburuzwa na ushetani wa CCM
Unavyoongea watanzania utadhani wote,we upo town unajua hili na lile ,kuna watu huko usweken mpaka leo wametunza tisheti za chagua CCM ,chagua MKAPA ( R.I.P).kwahiyo wenye uelewa na uthubutu ni wachache sana hawafiki mil2 kati ya zaidi ya mil50,watapigwa tu mabomu...imeishaa hiyo.kimyaà mambo yanaendelea.hatujazoea kash kash.
 
Haya uliyoandika ni kama yale asemayo Lissu huko kwenye majukwaa kwa faida ya akina AMSTERDAM, na wewe umeyakariri siyo?
Wewe umekariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti mwenyekiti wa CCM na polepole hata uambiwe nini huwezi kuelewa kwani Akili zako zote zipo kwenye uteuzi tu
 
3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
Kaka zote ni hoja zako nzuri, ila hii imependeza zaidi!!
 
Ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania ya sasa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo akina Elbashiri wa Sudan, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, mabutu, Iddy Amin dada wapo wapi sasa?
Uzuri jeshi Ni Mali ya wananchi na si la dikteta.Alifanya vizuri Sana kutowaongezea mishahara ili hasira zao zipande.
 
Back
Top Bottom