The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hapa yatakuja maswali nani wakumvisha paka kengele?Kailima na Mwambegele wakamatwe mara moja
Ustadh Kai pamoja na sigda yake kubwa vile bado anafanya mambo ya ajabu ajabuπ?Kailima na Mwambegele wakamatwe mara moja
Wafunguliwe kesi ya uhainiKailima na Mwambegele wakamatwe mara moja
Na kufuga majini amwachie nani!Ustadh Kai pamoja na sigda yake kubwa vile bado anafanya mambo ya ajabu ajabuπ?
Hiki ni kitendo cha aibu sanaUstadh Kai pamoja na sigda yake kubwa vile bado anafanya mambo ya ajabu ajabuπ?
Polepole anajua anachosema. Unajua ila 37M ya wapiga kura ndo imedhihirika sasaHapo ndipo HP anaaminika sasa
..hao wa aina hiyo ni waovu zaidi ni km kuwa nayo hiyo ni certification ya uovu wa hali ya juu!Ustadh Kai pamoja na sigda yake kubwa vile bado anafanya mambo ya ajabu ajabuπ?
Hakuna Mwanaccm anayemuabudu MunguUstadh Kai pamoja na sigda yake kubwa vile bado anafanya mambo ya ajabu ajabuπ?
Hawa Wameshikwa Uchawi Kuunganisha MifumoKailima na Mwambegele wakamatwe mara moja
Rejea ufunuo wa Balozi Pole Pole... ccm pekee ndo wanaweza kuyaona hayo majina shida.GT
Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa
Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu?
Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah π π π na hata wewe uliyejiandikisha utaona jina lako tu.
View attachment 3450371
Aisee kwa nini sasa wanajiita tume huruRejea ufunuo wa Balozi Pole Pole... ccm pekee ndo wanaweza kuyaona hayo majina shida.
Swali fikirishi kwanini uhakiki namba kwenye simu wakati hizo number ziko kwenye kituo chako cha kupigia kura huko mtaaniGT
Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa
Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu?
Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah π π π na hata wewe uliyejiandikisha utaona jina lako tu.
View attachment 3450371
Good thinkingPolisi wawabane CCM wawaongeze posho na mishahara iwe minono,kuliko kutumika tu halafu wanaofaidika ni viongozi wa CCM na polisi wa ngazi za juu wanaotoa oda tu.