GE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi imeficha taarifa za wapiga kura?

GE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi imeficha taarifa za wapiga kura?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Good thinking
Maana wanatumika sana tena sana kuzuia hasira za wanachi ambao ni rafiki zao,ndugu zao na wengineo zisiwakabili watawala ambao wao na ndugu zao wanakula mema ya nchi.
Polisi,JW,Magereza na vyombo vingine vya ulinzi na usalama,wawaonyeshe watawala kua WANAONA KILAKITU,na bila wao WATAWALA wangekua washatolewa hata kwa nguvu ya umma madarakani.
 
Aisee kwa nini sasa wanajiita tume huru
Katiba ya Tanzania haitambui kitu kinaitwa time huru... Hao jamaa wapo kwa maslahi ya ccm
20250823_213811.jpg
 
Back
Top Bottom