The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
Au wengi ni wanasisiemu kimavazi lkn kifikra ni fikra tofautiUkiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
Ndo walimuhadaa Lissu atashinda kwa 80&,Alichokipata anajuta,akajaribu kuitisha maandamano yasiyoisha ikiwa hewa.Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
Lisu alifanyiwa uwizi wa mchana kweupe kila mwennye akili aliona acha upotoshajiNdo walimuhadaa Lissu atashinda kwa 80&,Alichokipata anajuta,akajaribu kuitisha maandamano yasiyoisha ikiwa hewa.
Erythrocyte huwaga anadai eti ni mamilioni.Kwenye space ya maria watakwambia tulikuwa elfu 6
Hahhahah
Je kila anayekosoa serikali ni lazima awe mpinzani ?? Wengine sio wapinzani kabisaaaa, na wengine hawavipendi kabisaaa vyama vya siasa, Wengine wao wanataka kuona Nchi inaenda vizuri tu basi ! Ndio maana wanachangia ama kwa kukosoa ama kwa kusifu, that's itUkiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
Huyo stress zinamzmsumbua sana kipindi hikiErythrocyte huwaga anadai eti ni mamilioni.
unaona karibu mno !Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
Wapinzani wa nchi hii ni kama nyoka mbele ya binadamu, na agizo la Mungu ni binadamu kumgonga kichwa, na nyoka kumgonga binadamu kisigino. Kuonekana mitandaoni huko ndio mafichoni kwao, walau miili inaonekana , vichwa vimefichwa visipondwe.wanaogopa kupigwa na polisi
Usiku wa kuamkia maandamano sikulala vizuri, milio ya magari a polisi yalikesha. Kesho yake barabara mjini kwetu zilijaa migambo na raia wa kawaida waliogopa kwenda hata sokoni.Ndo walimuhadaa Lissu atashinda kwa 80&,Alichokipata anajuta,akajaribu kuitisha maandamano yasiyoisha ikiwa hewa.
ALAFU NI WAOGA ILE MBAYA..!Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.