SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
HIVI HUU UTAFITI WA MIOYO YA WATU SIJUI HUWA MNAUFANYA VIPI MPAKA MNAGUNDUA KUWA WAPINZANI WAPO WENGI? BADO MNAJIDANGANYA PANUENI HUKOMCHINI KWANZA MJULIKANE MSIWE NA HARAKA YA KUINGIA MADARAKANI BADO HAMJUIKANINikitaka kutukana lakini basi
Hivi unafikiri upinzani ni kama mawe kwamba lazima yaonekane?
Upinzani uko moyoni mwa wengi zaidi hata na hawa unaowaona mitandaoni.
Sitaki kueleza sababu za kwa nini hawaonekani nadhani unazifahamu kuliko nadhani hata nazozifahamu.
Kama unazifahamu sababu za kwa nini hawaonekani mtaani amini wewe ni mpinzani kindaki ndaki na umekosa nafasi tuu ya kuoonyesha.