SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
HIVI HUU UTAFITI WA MIOYO YA WATU SIJUI HUWA MNAUFANYA VIPI MPAKA MNAGUNDUA KUWA WAPINZANI WAPO WENGI? BADO MNAJIDANGANYA PANUENI HUKOMCHINI KWANZA MJULIKANE MSIWE NA HARAKA YA KUINGIA MADARAKANI BADO HAMJUIKANINikitaka kutukana lakini basi
Hivi unafikiri upinzani ni kama mawe kwamba lazima yaonekane?
Upinzani uko moyoni mwa wengi zaidi hata na hawa unaowaona mitandaoni.
Sitaki kueleza sababu za kwa nini hawaonekani nadhani unazifahamu kuliko nadhani hata nazozifahamu.
Kama unazifahamu sababu za kwa nini hawaonekani mtaani amini wewe ni mpinzani kindaki ndaki na umekosa nafasi tuu ya kuoonyesha.
Unajitia uelewi. Wapinzani ni wengi sana . MaCCM mmeua na kutesa watu mkiamini mnaua upinzani. CCM ndio imebakiwa na watoto wa teuzi na wale wa buku7. Hata mikutano yenu CCM lazima kodi na TOZO zitumike kugharamia kuongeza vichwa.Hahahh Yani hata hueleweki unaongelea kitu gani rafiki...
Ulijiuliza kama upinzani haupo kwa nini CCM haiwezi kuishi bila kuiba chaguzi, ?! au ndio ushashiba buku7 ya TOZO unahara tu humu.HIVI HUU UTAFITI WA MIOYO YA WATU SIJUI HUWA MNAUFANYA VIPI MPAKA MNAGUNDUA KUWA WAPINZANI WAPO WENGI? BADO MNAJIDANGANYA PANUENI HUKOMCHINI KWANZA MJULIKANE MSIWE NA HARAKA YA KUINGIA MADARAKANI BADO HAMJUIKANI
Kweli wapinzani nimewaona hapa JF wamejaa...Unajitia uelewi. Wapinzani ni wengi sana . MaCCM mmeua na kutesa watu mkiamini mnaua upinzani. CCM ndio imebakiwa na watoto wa teuzi na wale wa buku7. Hata mikutano yenu CCM lazima kodi na TOZO zitumike kugharamia kuongeza vichwa.
kutukana ni jadi yenu sisi tuna pambana kwa hoja wewe tukana unavyoweza utaendelea kuwa mpinzani mpaka uchakae sisi twala tuUlijiuliza kama upinzani haupo kwa nini CCM haiwezi kuishi bila kuiba chaguzi, ?! au ndio ushashiba buku7 ya TOZO unahara tu humu.
Mnaogopa kitu hakipo , SHUWAIN wa Makunduchi nyie.
Mimi bado nadhani ni wachache sana, na serikali ina fanya vyote ulivyovitaja ili wasije wakawa wengi! Maana upotoshaji unao tumika, serikali isipo wacheck, wanaweza kuongezeka! Ni hilo tu, ila wapinzani ni wachache sana.
Wewe unachanganya vitu viwiliHIVI HUU UTAFITI WA MIOYO YA WATU SIJUI HUWA MNAUFANYA VIPI MPAKA MNAGUNDUA KUWA WAPINZANI WAPO WENGI? BADO MNAJIDANGANYA PANUENI HUKOMCHINI KWANZA MJULIKANE MSIWE NA HARAKA YA KUINGIA MADARAKANI BADO HAMJUIKANI
ndugu mi naona nimeshindwa kukuelewa unamaanisha nini yaani niwe ccm halafu nisijijue kwanini niko ccm? au niwe chadema halafu nisijijue kama kwanininiko chadema au niwe mpinzani ndani ya chadema? haiwezekani cha msingi upinzani nachosisitiza wajijenge kuanzia mashinani huku juu wanakurupukia hakuna manufaa sana kwao maana na wapiga kurawako huko chini wasiangalie wa mtandaoniWewe unachanganya vitu viwili
1. Upinzani
2. Ufuasi wa vyama
Kuna watu ni wafuasi wa vyama lakini sio wapinzani na kuna watu ni wapinzani lakini sio wafuasi wa vyama.
Ukizijua hizo tofauti ndio utajua hata wewe yawezekana ni mpinzani ila sio mfuasi wa chama.
Hapo ndio utajua hata ndani ya ccm kuna wapinzani lakini sio wanachama wa upinzani ila ni wafuasi wa ccm
Ukitaka kujua hili jiulize mwenyewe
Kwa nini niko ccm?
Ukiona jibu lako binafsi huna mpaka uokoteze kutoka kwa wengine ujue hata wewe ni mpinzani kwani una mawazo m.badala