Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

Penye riziki hapakosi fitina
 
Kama nyie waha nduo mna Roho mbaya sana. Niliishi nanyi kakonko, Aiseeeee.

Kuna mmoja nilifanya naye kazi anaitwa Lucas Haga, Dahh yule jamaa ana roho mbaya sana.
Sijafanya utafiti huo na kupata majibu kwa unachosema. Lkn nafahamu kuwa kila penye rupia hapakosi chuki. Hakuna penye unafuu kwa kuwa roho mbaya ni dhambi na mwenye dhamana ya kuondosha chuki ni Yesu ama Mtume MSW
 
Boss: kuna project inakuja nataka uifanye wewe ili upige hela.
Assistant : Project hii tumpe AKAN na yeye apige hela
Boss : Hapana piga wewe mwache AKAN kule bench
Assistant : Hapana mkuu AKAN kapambana sana ni muda na yeye apige hii project
Boss : 😑😑😑.
 
🧒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…