Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

Kama nyie waha nduo mna Roho mbaya sana. Niliishi nanyi kakonko, Aiseeeee.

Kuna mmoja nilifanya naye kazi anaitwa Lucas Haga, Dahh yule jamaa ana roho mbaya sana.
Hakuna muha mwenye roho mbaya - waha ni wanyoofu sana sasa kama wewe ulipinda ndiyo sababu uliwaona wabaya
 
Inategemea unafanya kazi wapi. Hapa kwetu hakuna mwenye time na mtu. Na wanakulipa mshahara mzuri kabisa.
Wapi huko na sie tuje kupata mshahara mzuri.
Tumechoka kuumiza kichwa diet ya ugali maharage
 
Nikijua tuu lazima itakuwa ngozi nyeupe.
Mwafrica mchina mwarabu muhindi hawezi kukulipa vizuri maana wamejaa roho mbaya tuu.
Hahah, halafu eti tunawachukia mabeberu, kumbe adui mkubwa ni sisi wenyewe plus wahindi na wachina.
 
Hahah, halafu eti tunawachukia mabeberu, kumbe adui mkubwa ni sisi wenyewe plus wahindi na wachina.
Sasa nitafute kazi basi hapo ata ya kasafisha ofisi ya boss...najua mshahara wa laki tano sikosi
 
2016 Nime pambana njee ya mshahara nime nunua gari ya kwanza watu wakaanza kukunja ofisini like what the f**ck . Ukikaa vzuri utagundua hata marafiki zetu wana penda kusikia habari za unashida shida mambo yako hayaendi
Ni kweli kabisa, na mara nyingi chuki inasababishwa na wivu
 
From no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.

Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Ni kupambana na izo situation kwa akili na Hekima ila ukisema mind your own business utafeli...Mtu anakuchokonoa hadi hatua ya mwisho unawezaje kupotezea.
 
Kama nyie waha nduo mna Roho mbaya sana. Niliishi nanyi kakonko, Aiseeeee.

Kuna mmoja nilifanya naye kazi anaitwa Lucas Haga, Dahh yule jamaa ana roho mbaya sana.
Waha ni watu hatari sana, ukiwa na boss muha inabidi ujipange kweli kweli kukwepa mishale.

Nb: sichochei ukabila.
 
Back
Top Bottom