Kazini utakakiwa uishi kimasta saana, epuka marafiki kazini, hao mmekutana kwa ajili ya kazi na mtaachana baada ya kazi, epuka kutembeleana majumbani au mtaani, usipige dili na mtu wa kazini, mkikutana kwenye bata wapotezee kula bata zako kivyako ikibidi badili chimbo wateme, msijenge mtaa mmoja au kununua viwanja sehem moja, na kubwa kuliko usideti kazini au kuoana na mtu wa kazini
kazini hakuna marafiki ni unafki mtupu. fanya kazi muda wakazi ukiisha potezea watu wote wa kazini utaishi vizuri sana, na usiruhusu mtu akujue jue kirahisi, aishie kukufaham tuu vile ya anavyo kuona. Utaishi kwa raha sana,