Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu fafanua vizuriIshi na watu uwaelewe vizuri, kila mtu ni kero kwa mwingine kwa namna fulani hasa pale ambapo tunaona maslaho yetu yako rehani!
We acha tu ukiwa katika harakati za kujitafuta si unajua tena.Ndo maana staki kazi za kuajiriwa...hela ndogo, majungu, kuchunguzana, umbea, kuharibiana nk....
Basi mpiganeHapa usipokua majini ndo unamfundisha jinsi ya kukutreat dadek
Ila kuna mda unaweza choka eti unaona kabisa unafanywa boya,MTU mweusi unabidi kuishi naye kwa akili ikiwemo kujishusha na kuua EGO
nyumbani napo unakuta mke kawaka hasira hapo ni bar hakuna kirudi home miezi yenyewe hii iliyobaki yote inaishia na bar tu!, September, October, November, December namimi ni member!..😂Fanya kazi muda ukifika rudi home
Mbaya zaidi mtu mweusi hata akielimika still hana self control dhidi ya negativity zake, maana sawa unaweza mchukia mtu lkn ukipima kiakili unapata majibu mwenyew mim ni mpuuzi kumchukia mtu with no reason, unaamua kujikontrol na ku mind ur own business
Chuki haichagui umeajiriwa au umejiajiri.Ndo maana staki kazi za kuajiriwa...hela ndogo, majungu, kuchunguzana, umbea, kuharibiana nk....
Kazini utakakiwa uishi kimasta saana, epuka marafiki kazini, hao mmekutana kwa ajili ya kazi na mtaachana baada ya kazi, epuka kutembeleana majumbani au mtaani, usipige dili na mtu wa kazini, mkikutana kwenye bata wapotezee kula bata zako kivyako ikibidi badili chimbo wateme, msijenge mtaa mmoja au kununua viwanja sehem moja, na kubwa kuliko usideti kazini au kuoana na mtu wa kazini, hata mademu wa field using'ate ovyo ovyo, ikikulazimu sana piga mara moja potezea na usijulikane kama umekula.From no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.
Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Low mindedMbaya zaidi mtu mweusi hata akielimika still hana self control dhidi ya negativity zake, maana sawa unaweza mchukia mtu lkn ukipima kiakili unapata majibu mwenyew mim ni mpuuzi kumchukia mtu with no reason, unaamua kujikontrol na ku mind ur own business
Andamana mkuu hakuna namnaNa nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Ila kuna mda unaweza choka eti unaona kabisa unafanywa boya,
Umetema point zote muhimu wanafki watu wabaya sana wafitinishaji sio watu wazuri wachonganishiKazini utakakiwa uishi kimasta, epuka marafiki kazini, hao mmekutana kwa ajili ya kazi na mtaachana baada ya kazi, epuka kutembeleana majumbani au mtaani, usipige dili na mtu wa kazini, mkikutana kwenye bata wapotezee kula bata zako kivyako, msijenge mtaa mmoja au kununua viwanja sehem moja, na kubwa kuliko usideti kazini au kuoana kazini
kazini hakuna marafiki ni unafki mtupu. fanya kazi muda wakazi ukiisha potezea watu wote wa kazini utaishi vizuri sana, na usiruhusu mtu akujue aishie kukufaham tuu vile ya anavyo kuona. Utaishi kwa raha sana,
Unaweza ukafanya hizi zote na bado kuna nzi ikakubugudhiKazini utakakiwa uishi kimasta, epuka marafiki kazini, hao mmekutana kwa ajili ya kazi na mtaachana baada ya kazi, epuka kutembeleana majumbani au mtaani, usipige dili na mtu wa kazini, mkikutana kwenye bata wapotezee kula bata zako kivyako, msijenge mtaa mmoja au kununua viwanja sehem moja, na kubwa kuliko usideti kazini au kuoana kazini
kazini hakuna marafiki ni unafki mtupu. fanya kazi muda wakazi ukiisha potezea watu wote wa kazini utaishi vizuri sana, na usiruhusu mtu akujue aishie kukufaham tuu vile ya anavyo kuona. Utaishi kwa raha sana,
Hujawai chonganishwa kazini wewe utaona balaa lakeMtu akikuchokoza na ukam-ignore basi unakuwa ishachukua point 3