Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

wakishajua uwezo wako kiutendaji upo juu na uelewa wako ni mkubwa zaidi yako lazima wakae pembeni wakuatack utoke uwaache nafikiri...ilishawahi nitokea sehemu mabosi kazi zote wananituma na zinakuja na majibu poa kwa wakati....figisu ikatokea nikawapa za mabaga freshi...mtulize kabla hajakutuliza...nilipowaaga idara yangu nikawaambia na sababu wakaona haya na kusikitika sana....tchao
 
Mkuu naanza kukuelewa, sasa hakuna option nyingine zaidi ya kuacha kazi?
 
Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
1727191928996.png
 
Hapana niliwahi fanya kazi na Wajapani hawana chuki za kijinga hivyo,Kaburu ni mkorofi ila hana with wala chuki na mtu yeyote wewe piga kazi tu.
Ilimradi ni binadamu ana kiasi cha chuki, tunatofautiana namna ya kuionesha hiyo chuki. Haukufikia sehemu ambayo huyo m-Japan angekuonesha chuki yake, deep inside kwake bado chuki alikuwa nayo though haikuwa kubwa kiasi cha kuiona iki-surface na kukugusa!
 
From no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.

Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Watanzania wengi wanaubinafsi wamejificha kwenye utanzania kumbe mioyo myeusi
 
Back
Top Bottom