Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapuuzi balaaWatanzania wengi wanaubinafsi wamejificha kwenye utanzania kumbe mioyo myeusi
Wajapani zaidi ya 30 upo nao kwenye Oil rig kwa muda mrefu unaanza kazi mpaka mkataba unaisha mkuu usijue kuwa watu wana chuki kaa na Wazulu wachache tu kwenye meli utajua tabia zao..Ilimradi ni binadamu ana kiasi cha chuki, tunatofautiana namna ya kuionesha hiyo chuki. Haukufikia sehemu ambayo huyo m-Japan angekuonesha chuki yake, deep inside kwake bado chuki alikuwa nayo though haikuwa kubwa kiasi cha kuiona iki-surface na kukugusa!
Mkuu namba namba yako pm umenigusa sana bossKatika taasisi zote nilizowahi kufanya kazi, watu wake wote wanafanana kitabia. Nadhani hii ni common African behavior. Wafanyakazi wenzio hawatakaa wapende mabadiliko chanya katika hali yako ya kimaisha, iwe ni kiuchumi, kiimani, kijamii nk.
Unaweza ukakuta daraja fulani la wafanyakazi ambalo linapokea kiwango sawa cha mshahara au gape la mshahara ni dogo tena ni kutokana na uzoefu. Sasa itokee umeamua kuchagua maisha ya kutokula bata zisizo na maana (pombe na wanawake) ukaamua kutumia hela yako kuboresha hali yako ya kimaisha kwa kufanya vitu vya maana (kununua assets au shughuli yakukuongezea kipato) chuki, fitina, visa na vitendo vya kishirikina utakavyokutana navyo kama humtegemei Mungu na hujasimama kiimani nakwambia huwezi toboa hapo kazini.
Na jinsi binadamu walivyo wa ajabu, wanaweza wakakusaka kote huko kisirisiri ila wakikushindwa kuna siku tu watakwambia kabisa jinsi lifestyle yako inavyowanyongorota, iwe kwa bahati mbaya au makusudi.
Nadhani hii hulka huenda ndio sababu kuu iliyomfanya shetani akachagua mizizi wa Uchawi Mweusi (Black Magic) aichimbie Afrika.
Ushamba tuu na ulimbukeni,kipindi nafanya kazi kampuni flani nilihamia Dodoma ,nikakutana na jamaa mmoja alikuwa ni mtu mwenye chuki kwa watu wengi!Siku Moja aliingia Cha kike,tumefanya mchongo nae alivyomjinga akaenda kunichoma kwa bosi kwamba nimeuza kitu kwa flani-----Bosi akamfuata huyo mtu,Bahati Nzuri bosi alikuwa muelewa akamuuliza jamaa vizuri Jamaa akataja tuliomuuzia!Kwa Bahati sana huyo mtu aliomba namba ya simu ili akiishiwa tumletee Tena mzigo.Bosi kupiga namba ni ya yule mnoko.Duuh ilikuwa mtiti ofisini.Wewe unawasema wenzio kumbe na wewe umo!Bonge la Aibu Ina maana hata Mimi Boss wako ukikutana na mabosi wangu utakuja kusema mapungufu yangu .From no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.
Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Uzi ufungwee.Fanya kazi muda ukifika rudi home
Sasa km uko mbali, si ndo nawee unazidi kwenda mbali zaidi.Mkuu usirahishishe ivyo kuna cnario zingine unaona mtu anakuja anga zako wakati uko mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana staki kazi za kuajiriwa...hela ndogo, majungu, kuchunguzana, umbea, kuharibiana nk....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazini ni lazima ujigange, sivyo utaona rangi zote za upinde wa mvua.
kulipwa si tatizo, tatizo ni maendeleo na mwonekanoSasa wivu wa nini wakati wote unalipwa tu shinda inakuaje
Sio wanawake tu hata wanaume pia wanakua na chukiii......ukiwa smart katika kazi zako ukipendwa Na maboss Na ukiwa Na Nyota kalii Na ukiwa smart kuwazidi wanafeel inferior Na kuanza kukuonea wivu mwishowe chukiFrom no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.
Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike kuepukana na haya mambo?
Na hasa km boss anakukubali,inakua mtihani sana,wengine wanaona unapewa kipao mbele kumbe hakuna lolote ninichapa kazi wako tuNi moja ya tabia za watu weusi chuki na wivu wa kijinga.
Wanaona umewazidi ivyo wanakuona threatSasa wivu wa nini wakati wote unalipwa tu shinda inakuaje
Haswa kwa mtu asielewa una safari gani kwa maisha,yaan makazini kama hujiongezi na kufuata kilichokuleta utakuwa katika gereza la mawazo na depression.Kukaa kimya ni zaidi ya jibu
Kukaa kimya ni zaidi ya jibu
Exactly Na kujifanya huoniMTU mweusi unabidi kuishi naye kwa akili ikiwemo kujishusha na kuua EGO
Hiyo ni asili ya mwanadamu tangu kuumbwa kwake, siyo suala la wa sasa wala wa kale...Mind your own business binadamu wa sasa ndivyo walivyo