Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

Mbaya zaidi mtu mweusi hata akielimika still hana self control dhidi ya negativity zake, maana sawa unaweza mchukia mtu lkn ukipima kiakili unapata majibu mwenyew mim ni mpuuzi kumchukia mtu with no reason, unaamua kujikontrol na ku mind ur own business
 



Hii race Ina matatizo nafikiri I never understand this race.
 
Kazini utakakiwa uishi kimasta saana, epuka marafiki kazini, hao mmekutana kwa ajili ya kazi na mtaachana baada ya kazi, epuka kutembeleana majumbani au mtaani, usipige dili na mtu wa kazini, mkikutana kwenye bata wapotezee kula bata zako kivyako ikibidi badili chimbo wateme, msijenge mtaa mmoja au kununua viwanja sehem moja, na kubwa kuliko usideti kazini au kuoana na mtu wa kazini, hata mademu wa field using'ate ovyo ovyo, ikikulazimu sana piga mara moja potezea na usijulikane kama umekula.

kazini hakuna marafiki ni unafki mtupu umezagaa. Fanya kazi zako muda wakazi ukiisha ondoka, potezea watu wote wa kazini utaishi vizuri sana,

na usiruhusu mtu akujue jue kirahisi, hata kupeana lift na watu wa kazini nayo sometimes inakua jau sana maana kuna simu utapigiwa au utapiga wataskia ishu zako za kifamilia au za kitaa wakaruka nazo hao watu jitahidi waishie kukufaham tuu vile ya anavyo kuona. Utaishi kwa raha sana,
 
Umetema point zote muhimu wanafki watu wabaya sana wafitinishaji sio watu wazuri wachonganishi
 
Unaweza ukafanya hizi zote na bado kuna nzi ikakubugudhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…