MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #201
Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pil
Awamu ya Tano ya Muhula wake wa PilAwamu ya tano kivipi? Hii ni awamu ya sita. Awamu inawakilisha mtu si miaka.
Nyerere awamu ya 1, miaka zaidi ya kumi...
Mwinyi awamu ya 2, miaka kumi
Mkapa awamu ya 3, mikaka kumi
Kikwete awamu ya 4, miaka kumi
JPM awamu ya 5, miaka 5 na miezi miwili
SSH awamu ya 6, haijulikani miaka.......
Still kama awamu ni miaka 10 na si mtu basi Nyerere hajatawala awamu moja hivyo hatukupaswa kuwa awamu ya tano.
Kama hutaki we mbishi tu.
Inaonekana umeuliza swali ukiwa na jibu lako kichwani .
Hebu nikuulize awamu ya tatu ya A H Mwinyi - Zanzibar aliongoza kwa chini miaka miwili . Alirithi wabunge na mawaziri wa Alhaji Aboud Jumbe na wabunge 1984- 1985. Lakini si ni awamu ?!. Jumbe pia alirithi wabunge na mawaziri wa Sheikh Karume bila uchaguzi , lakini si ni awamu ya pili Zanzibar ?!.
Sasa kosa la Mama Samia kurithi Bunge na mawaziri wa awamu ya tano na kuhamia nao awamu ya sita Tanganyika iko wapi ?!
@gentlemicin anasemaje?
Punguza bange wewe sukuma gng
Tufanye raisi wa sita. Mambo ya awamu kwanza hayapo kwenye katiba, katiba inaeleza vipindi vya miaka sio awamu. Awamu ni jina lililetwa nafikiri 1985 kama sikosei na ccm.Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pil
Inbobo chaap...😂😂 Hebu piga wewe
Tatizo CCM walijimilikisha nchi kuwa ni lazima waongoze miaka kumi na wakatumia Rais mfano wa tano kuita awamu ya sita lakini hakuna sheria inatambua hilo ila kiuhalisia JPM alikuwa Rais wa 5 nchi hii na Samia anakuwa ni Rais wa 6 nchi hii maana huwezi kusema Mama Samia ni Rais wa 6 Tanzania awamu ya 5. Ni juu yako kumwita Rais wa 6 au kama wanavyotaka awamu ya 6, Mama Samia anaelewa mchezo wa CCM wao kumwita awamu ya 5 ili 2025 waje waseme sasa tuchague mwingine lakini kuwa awamu ya sita basi inampa nguvu ndani ya chama CCM kumpa bila kupingwa 2025 kipindi cha pili kama wanavyopenda wao CCM japo hata sio katiba ya CCM ni utamaduni wao tu.Kwaiyo ni Rais au sio Rais na kama ni Rais ni Rais wa ngapi!
Sio kwamba hawaelewi basi tu hawataki kuelewa. mchezo uko hivi na Mama Samia anaelewa siasa za CCM wasiompenda, wanataka kulazimisha awamu ya 5 ili ikija 2025 wasiweze kumpa kijiti automatic za miaka mingine 5 kwa kusema awamu ya 5 inaishia hapa tufanye mchakato mpya wa kutafuta Rais ndani ya CCM na kama JPM angekuwa hai ndio ingekuwa hivyo kuna watu walishaota hiyo siku na JPM alishawahi kuwaonya na Mama juzi kawaonya, sasa Mama kuwa awamu ya 6 inafanya kama reset kwa maana 2025 kwa utamaduni wa CCM atapewa automatic sasa shida wale waliokuwa wanakimbilia hiyo nafasi wanaona itabidi mpaka 2030 mbali sana na umri utakwenda hii ndio siasa chafu na uhakika Mama anawajuwa hawa ndio maana akawaonya mnaotaka 2025 acheni haya tutayaongea. Hii ndio nyuma ya haya yote ndio maana Mama anawakumbusha hii awamu ya 6.Awamu ya tano kivipi? Hii ni awamu ya sita. Awamu inawakilisha mtu si miaka.
Nyerere awamu ya 1, miaka zaidi ya kumi...
Mwinyi awamu ya 2, miaka kumi
Mkapa awamu ya 3, mikaka kumi
Kikwete awamu ya 4, miaka kumi
JPM awamu ya 5, miaka 5 na miezi miwili
SSH awamu ya 6, haijulikani miaka.......
Still kama awamu ni miaka 10 na si mtu basi Nyerere hajatawala awamu moja hivyo hatukupaswa kuwa awamu ya tano.
Kama hutaki we mbishi tu.
Wapi ime define awamu ni ilani? unataka kusema Ilani ya mwaka 2015 ni ileile ya mwaka 2020? basi kama ni hivyo Magufuli alikuwa hii awamu ya 6 maana ilani ya 2015 ilikuwa nyingine na iliisha 2020 akaja na ilani mpya. hapa hakuna cha awamu wala nini ni lile onyo la JPM alishwahi kuwaonya walioanza mchakato wa 2025 akawataja na majina na juzi Mama kawaonya 2025, sababu ni kuwa wanataka kusema 2025 tufanye mchakato mya kutafuta mgombea CCM kuna watu wamesha invest sasa mama ka reset hii ni awamu mpya Rais mpya na tamaduni za CCM 10 years watu wameinvest 2030 wanaona mbali, ngoja Mama achukue kijiti mwenyekiti utaona panga litakavyopita mbona wanajulikana.How comes mtu atumie ilani ile ile ya mwenzake halafu useme awamu ni tofauti? msilazimishe haya mambo.
Wanaotetea na Kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan kuwa yuko katika Awamu ya Sita waje pia kutuambia je, na hawa Wabunge nao ni wa Awamu ya Tano ( iliyokuwa ya Hayati Rais Dkt. Magufuli ) au nao ni wa Awamu tunayolazimishwa kuwa ni ya Sita?