Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Wapi ime define awamu ni ilani? unataka kusema Ilani ya mwaka 2015 ni ileile ya mwaka 2020? basi kama ni hivyo Magufuli alikuwa hii awamu ya 6 maana ilani ya 2015 ilikuwa nyingine na iliisha 2020 akaja na ilani mpya. hapa hakuna cha awamu wala nini ni lile onyo la JPM alishwahi kuwaonya walioanza mchakato wa 2025 akawataja na majina na juzi Mama kawaonya 2025, sababu ni kuwa wanataka kusema 2025 tufanye mchakato mya kutafuta mgombea CCM kuna watu wamesha invest sasa mama ka reset hii ni awamu mpya Rais mpya na tamaduni za CCM 10 years watu wameinvest 2030 wanaona mbali, ngoja Mama achukue kijiti mwenyekiti utaona panga litakavyopita mbona wanajulikana.
Unauliza maswali yako unajijibu mwenyewe, nimezungumzia ilani ya 2020 ambayo ndio Samia anaimalizia toka kwa mwenzake sio ya 2015, na zaidi Katiba inasema Rais atakapofariki makamu wake atamalizia kipindi kilichobaki, sasa kama huyu anamalizia kipindi kilichobaki hiyo awamu mpya inatoka wapi? huyu anamalizia kipindi kilichobaki kwenye awamu ya mwenzie.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
YAANI UNAKSA MYAMUHIMU KUYATAFAKARI WEWE UNA DEAL NA ISSUE NDOGO KAMA HII YA AWAMU YA NGAPI SIJUI ? HIVI HUNA VINGINE VYA MAENDELEO VYA KUFIKIRIA?
 
Unauliza maswali yako unajijibu mwenyewe, nimezungumzia ilani ya 2020 ambayo ndio Samia anaimalizia toka kwa mwenzake sio ya 2015, na zaidi Katiba inasema Rais atakapofariki makamu wake atamalizia kipindi kilichobaki, sasa kama huyu anamalizia kipindi kilichobaki hiyo awamu mpya inatoka wapi? huyu anamalizia awamu ya mwenzie.
Wewe umesema anatumia Ilani ya mwenzake nimekwambia toka lini ilani ndio imekuwa awamu?
 
Wewe umesema anatumia Ilani ya mwenzake nimekwambia toka lini ilani ndio imekuwa awamu?
Rais gani alieingia madarakani na ilani ya mwenzake? nitajie mmoja, nakuona una hofu na mambo ya kugombea 2025 ndio maana unakataa asiitwe wa awamu ya tano.
 
Sio kwamba hawaelewi basi tu hawataki kuelewa. mchezo uko hivi na Mama Samia anaelewa siasa za CCM wasiompenda, wanataka kulazimisha awamu ya 5 ili ikija 2025 wasiweze kumpa kijiti automatic za miaka mingine 5 kwa kusema awamu ya 5 inaishia hapa tufanye mchakato mpya wa kutafuta Rais ndani ya CCM na kama JPM angekuwa hai ndio ingekuwa hivyo kuna watu walishaota hiyo siku na JPM alishawahi kuwaonya na Mama juzi kawaonya, sasa Mama kuwa awamu ya 6 inafanya kama reset kwa maana 2025 kwa utamaduni wa CCM atapewa automatic sasa shida wale waliokuwa wanakimbilia hiyo nafasi wanaona itabidi mpaka 2030 mbali sana na umri utakwenda hii ndio siasa chafu na uhakika Mama anawajuwa hawa ndio maana akawaonya mnaotaka 2025 acheni haya tutayaongea. Hii ndio nyuma ya haya yote ndio maana Mama anawakumbusha hii awamu ya 6.
Nimekuelewa sana mkuu.
 
Rais gani alieingia madarakani na ilani ya mwenzake? nitajie mmoja, nakuona una hofu na mambo ya kugombea 2025 ndio maana unakataa asiitwe wa awamu ya tano.
Ilani ni ya chama hakuna mtu ana ilani yake hata haya mambo kama ya terminal 3 au barabara za ubungo yalikuwa kwenye ilani wakati wa JK na JPM akamalizia. kuweka mambo sawa nadhani 2025 ndio inakukera wewe mimi na uraisi wapi na wapi CCM tu sio chama changu wala sina chama sasa umeongelea wewe linalokutia hofu 2025 sio mimi na Mama kishawaonya na akishika kijiti ndio fagio litapita hata JPM aliwaonya mtu ndio kachaguliwa tu watu wameanza kampeni 2025 alionya Chamwino na Mama katoa neno mbona wanajulikana tu ni timing tu
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
Nina mawazo kama yako mkuu
 
Tufanye raisi wa sita. Mambo ya awamu kwanza hayapo kwenye katiba, katiba inaeleza vipindi vya miaka sio awamu. Awamu ni jina lililetwa nafikiri 1985 kama sikosei na ccm.

Angalia ulivyo Juha ( Fool ) hivi siyo Wewe ambaye katika posts zako za Awali katika Uzi huu huu ulikuwa Unabisha na Ukweli tuliokupa?

Sasa inakuwaje sasa hivi unaanza Kulainika na Kubadilika Kinafiki hivi? Tafadhali endelea Kuuamini tu ule Upumbavu wako sawa?

Nasisitiza Kwako tena kuwa Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita katika Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa mwisho ( wa pili )

Nimemaliza.
 
Awamu Ya Sita Na Rais Wa Sita Ni Kitu Kimoja.
Nyerere Amekaa Madarakani Muda Mrefu Kuliko Marais Wetu Wote ila Bado Kipindi Hicho Chote Kinahesabika Ni Awamu Ya Kwanza. Hata zile awamu 44 za marekani sio kwamba Maraisi wao wote wameongoza miaka 8 hapana. Kuna baadhi wameongoza miaka 2 wakafariki na akija Rais mungine Inahesabika ni Awamu Nyingine.

KATIBA Inasema Hivi:
Endapo Magufuli Angeongoza Miaka Mitatu Afariki Basi Samia Angemalizia Awamu Ya Magufuli. Ila Kwa Vile Magufuli baada Ya Uchaguzi wa 2020 Kaongoza Chini Ya Miaka Mitatu Basi Samia Anakuja Na Awamu Yake. Kwa faida Zaidi Nikwamba Endapo Uchaguzi Ujao Mama Samia Akihijataji Kutetea Kiti Chake Katiba Inamruhusu Kufanya Hivyo ila Akishinda Huo ndio Utakua Muhula Wake Wa Mwisho(2030).
Swali: kama Samia Anamalizia Awamu Ya Tano Inamaana Hadi 2025 Itakua Ameshatawala Miaka Kumi Kwa Mujibu Wa mtoa Mada. Na Kwa Mujibu Wa katiba Yetu Kiongozi Akishatawala Miaka Kumi Haruhusiwi Kugombea Tena, sasa je Iweje Mama SAMIA katiba Imruhusu Kugombea 2025 Wakati Atakua Ameshatimiza Miaka 10 Kiuongozi? .

Another Insane.
 
Hivi vichwa mnabebea akili ama maji?
Easy katiba katika ibara ya 37 (5) na ibara ya 40 umetoa maelezo mazuri Sana.
Sasa sijui kwa Nini awamu ya tano hamuelewi Kama Isha Isha. Seee kwa kindali

Another Wacky.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
Ukweli tupo awamu ya tano,sio ya sita,hatujafanya uchaguzi,ila yeye ni rais wa sita ktk awamu ya tano,
 
Kusema hii awamu ni ya sita, ni sawa na kuamini kuwa baada ya Rais wa awamu ya 5 kufariki, na awamu ikafa

Kitu ninachoona anataka kujenga legacy yake, hataki kuwa kivuli cha rais wa awamu ya 5

Ukweli ni kwamba, hii ni awamu, muhula, au kwa lugha ya malikia ni 5th term

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app

Nafurahi kukutana na Brainiac Member kama Wewe hapa Jamiiforums. Heko ( Kongole ) Kwako Ndugu.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
ni bora uombe kuelekezwa awamu hazitokani na chama kilichopo au serikali bali tunatumia awamu kuangali Rais aliyeko madarakani ni wangapi.Tungeangalia vipindi basi pengine tungelikuwa awamu hata ya kumi maana mwinyi mkapa na kikwete wametumia miaka 30 jumlisha ya JPM ni 35 ukigawanya na 27 ya baba wa taifa.Ni bora uombe kuelemishwa kuliko kuleta hoja dhaifu.Samia ni Rais Kamili kwa mujibu wa sheria na katiba.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
Samia Suluhu Hassan : Defacto President was awamu ya 5 ???
JPM: Late President
 
Back
Top Bottom