denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Unauliza maswali yako unajijibu mwenyewe, nimezungumzia ilani ya 2020 ambayo ndio Samia anaimalizia toka kwa mwenzake sio ya 2015, na zaidi Katiba inasema Rais atakapofariki makamu wake atamalizia kipindi kilichobaki, sasa kama huyu anamalizia kipindi kilichobaki hiyo awamu mpya inatoka wapi? huyu anamalizia kipindi kilichobaki kwenye awamu ya mwenzie.Wapi ime define awamu ni ilani? unataka kusema Ilani ya mwaka 2015 ni ileile ya mwaka 2020? basi kama ni hivyo Magufuli alikuwa hii awamu ya 6 maana ilani ya 2015 ilikuwa nyingine na iliisha 2020 akaja na ilani mpya. hapa hakuna cha awamu wala nini ni lile onyo la JPM alishwahi kuwaonya walioanza mchakato wa 2025 akawataja na majina na juzi Mama kawaonya 2025, sababu ni kuwa wanataka kusema 2025 tufanye mchakato mya kutafuta mgombea CCM kuna watu wamesha invest sasa mama ka reset hii ni awamu mpya Rais mpya na tamaduni za CCM 10 years watu wameinvest 2030 wanaona mbali, ngoja Mama achukue kijiti mwenyekiti utaona panga litakavyopita mbona wanajulikana.