Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Mwandiko wako tu unaonyesha ni kwa kiasi gani walimu wako walipata wakati mgumu sana kukutoa ujinga kichwani kwa sababu ubongo wako kwa kiasi kikubwa ulikuwa umechanganyikana na kamasi nyingi sana.
 
Wenye akili tu ndiyo watakuelewa ulichoandika mkuu.
 
Du - elimu ya URaia sijui imekupita kando kweli ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…