Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Hivi ni yeye mwenyewe amejipangia? Kuwa ni awamu ya sita
 

Rais Mama Samia Suluhu Hassan alipigiwa Kura lini? Je, aliyepigiwa Kura Kikatiba ni Yeye ( kama Makamu ); au Hayati Boss wake Rais Dkt. Magufuli? Je, alipokuwa Makamu wa Rais alikuwa ni Makamu wa Awamu ipi kati ya Tano au ya Sita? Kuna Watu ni Wapumbavu hadi mnanichosha tu Kuwaelimisha ( Kuwaelimisheni ) hapa.
 
Ni wachache sana wenye uwezo wa kuelewa bandiko hili lililowasilishwa kwa akili nyingi.
Wakati mtoa mada akijiita akili nyingi, sisi tumekwishakumweka kwenye kundi la Kibajaji na Musukuma. Labda ni wa kwanza kati ya hao wajingajinga.
 
Sidhani kama kutambua hii ni awamu ya ngapi inahitaji kutumia rocket science. Awamu zote zilizopita zinatokana na Rais aliyepo madarakani. Rejea awamu ya kwanza, Julias Nyerere aliongoza JMT takribani 24 years lakini ilihesabika ni awamu ya kwanza. Kama awamu zingekuwa ni vipindi viwili yaani miaka 10 basi Nyerere angeongoza awamu 2.
Kwa mfano huo wa Nyerere itoshe tu kusema awamu zote zimetokana na Rais aliyepo madarakani. Kwa mantiki hiyo JPM awamu yake ilikuwa ya 5 na kwa sababu hatupo naye tena Rais aliyepo madarakani lazima ahesabike kuwa ni Rais wa awamu ya 6.
Uhuru wa kutoa mawazo ni ukomavu wa akili. Karibu!
 
Hivi ni yeye mwenyewe amejipangia? Kuwa ni awamu ya sita

Aache Kuwadanganyeni na Kujinasibu Kipuuzi tafadhali. Aache kusema ni Rais wa Awamu ya Sita ( kama anavyopenda kusema hivi mara kwa mara ) na kuanzia sasa awe anasema Yeye ni Rais wa Sita wa Awamu ya Tano iliyokuwa chini ya Hayati Rais Dkt. Magufuli ambapo Yeye alikuwa ni Makamu wake. Hili nitambishia mpaka Kristo atakapokuja tena Kutukomboa.
 

Fool.
 
Ufipa Wanajipa moyo wa Kuchukua Kombe Msimu ujao
 
By the way awamu ni kitu gani hasa mpaka kinakuchosha? Hata akisema awamu ya kumi wewe unapata tatizo gani kwani?
 
Sawa ndugu
 
Nonsense, kujua kwingi
 
Pambana tu na hali pale unapoleta hoja kwenye public forums.

Hoja ambazo hakuna atakayekuingilia ni zile utakazotumia mtindo wa kuinbox mmoja mmoja muongee sirini humo.

Idiot.
 
Rais wa awamu ya sita, iki kipindi chake cha kwanza,2025 anagombea cha pili
 
How comes mtu atumie ilani ile ile ya mwenzake halafu useme awamu ni tofauti? msilazimishe haya mambo.
Hata JPM angeweza kutumia ya JK. Ni vipaumbele katika kuendeleza alipoishia aliyekuachia.

JPM akiamka leo, kipindi chake kitakuwa kimepita sababu tumeshaapisha raisi mwingine, ataitwa mstaafu badala ya marehemu.

UKISHAAPA WEWE NI RAISI, MARAISI WOTE WA CCM WANAENDELEZA WALIPOISHIA WALIOPITA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…