polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Wasukuma bwana wana shida na ndio wanao facilitate hii kampeni ya kumu undermine mama kwasababu tu mtu wao aliye waaminisha kuwa yeye ni jiwendugu yangu wasukuma watakukoma mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma bwana wana shida na ndio wanao facilitate hii kampeni ya kumu undermine mama kwasababu tu mtu wao aliye waaminisha kuwa yeye ni jiwendugu yangu wasukuma watakukoma mwaka huu
Mbona tayari imetokea?In short wewe ni mpumbavu mjinga. Cha ajabu unajitutumuaga humu lakini hakuna asiyekujua.
Hapo juu kuna mtu alikuuliza, mama Samia ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania au siyo? Kama ni Rais ni wa awamu ya ngapi? Toa jibu hapo. Awamu moja haiwezi kuwa na marais wawili.
Hivi nyie watu huwa hamsomi katiba au ni ujuaji kutoka vichwani mwenuSijui hapo katiba inasemaje lkn inawezekana kama katiba itakuwa bubu, Kama sihasahau katiba inasema rais atahudumu vipindi viwili vya miaka 5, 5 hicho anachomalizia sio chake ni cha mwenzake kwahiyo akigombea 2030 hawezi kukataliwa, na ndio maana tunasema hii hawamu bado ni ya 5 sio ya 6, hapa mama anamalizia ngwe ya mwenzake
Kama mama anahudumu awamu ya 5, basi atakaa madarakani kwa Muda wa miaka 14, ni rahisi tu ikifika 2030 achukue fomu ya urais na ajenge hoja kuwa 2021 hadi 2025 alikuwa anahudumu miaka ya magufuli, na 2025/2030 ndo awamu yake ya kwanza na ya pili atamalizia 2030/2035. Simple like that.Sijui hapo katiba inasemaje lkn inawezekana kama katiba itakuwa bubu, Kama sihasahau katiba inasema rais atahudumu vipindi viwili vya miaka 5, 5 hicho anachomalizia sio chake ni cha mwenzake kwahiyo akigombea 2030 hawezi kukataliwa, na ndio maana tunasema hii hawamu bado ni ya 5 sio ya 6, hapa mama anamalizia ngwe ya mwenzake
Wewe ndio mwenye akili unayeanzisha uzi kwa masuala yasiyo na tija kwa taifa.
Soma katiba vizuri....Awamu ya tano kivipi? Hii ni awamu ya sita. Awamu inawakilisha mtu si miaka.
Nyerere awamu ya 1, miaka zaidi ya kumi...
Mwinyi awamu ya 2, miaka kumi
Mkapa awamu ya 3, mikaka kumi
Kikwete awamu ya 4, miaka kumi
JPM awamu ya 5, miaka 5 na miezi miwili
SSH awamu ya 6, haijulikani miaka.......
Still kama awamu ni miaka 10 na si mtu basi Nyerere hajatawala awamu moja hivyo hatukupaswa kuwa awamu ya tano.
Kama hutaki we mbishi tu.
Soma katiba vizuri....
raisi atakapotoka madarakani kwa sababu yyte ile......kabla ya muda wake kuisha.....makamu atamalizia kipindi kilichobaki....
Mwinyi, Mkapa, JK wote walikula vipindi viwili viwili so kwa ni i awamu zao mmeunganisha kuwa mojamoja na leo mnasema awamu ya 5/6, kwa nini msiseme awamu ya 10 au 11..?Hapo nafikiri aujaelewa,hebu fikiria kama membe angechukua fomu na magufuli kutokupitishwa alafu membe awe rais ingekuwa ni hawamu ya tano tena?.
AWAMU ZINAHESABIWA KWA MABADILIKO YA RAIS . SI LAZIMA RAIS APATE MIHULA MIWILI KWA KUWA UCHAGUZI HUFANYWA KILA MIAKA MITANO NA KITI CHA RAIS KINAWEZA KUCHUKULIWA NA CHAMA CHOCHOTE KILICHOSHIRIKI.Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.
Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.
Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.
Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
Yani mtoto wa darasa la 7 akiulizwa Rais wa awamu ya tano niKawaida imekuwa kwamba huko CCM lazima Rais mmoja aongoze vipindi viwili, naona hapo ndipo tatizo linapoanzia, kama akitokea Rais akaongoza muhula mmoja then amuachie mwingine naamini hii story ya awamu itabadilika.
Samia angekuwa Rais wa awamu ya sita kama angeanzia mwanzo baada ya kufanyika uchaguzi mkuu agombee na ashinde, lakini kama amekuja kumalizia kazi iliyoanzishwa na mwenzake yeye akiwa makamu basi yeye bado ni Rais wa awamu ya tano anaemalizia awamu waliyoianza na mwendazake.
Kwa hiyo Rais akichagua waziri mkuu mwingine awamu ndio itakuwa imebadirika?Kwamba ni serikali ya Rais wa sita na sio awamu ya sita. Kwamba awamu ingehusisha uteuzi wa waziri mkuu na mwanasheria mkuu. Mama SSH ni Rais wa sita anaekamilisha awamu ya tano(maelezo ya wanasheria)
Nimeona na Kusikia pia Ndugu. Nashukuru kile nilichojifunza na Kujiamini nacho kwa 100% ndicho Kimesemwa na huyo Lawyer hapo Studioni Stsr Tv.Generalist njoo startv Kuna majibu
Na kwamba viapo vya mawaziri havija expireKwa hiyo Rais akichagua waziri mkuu mwingine awamu ndio itakuwa imebadirika?
HahahahahahaMkuu, wewe mambo ya awamu yanakusaidia nini kwenye shughuli zako?
Kinachobadilisha awamu ni Kiongozi Mkuu wa Nchi na sivinginevyo wapo baadhi ya mawaziri walikuwepo toka kipindi cha Nyerere mpaka sasa lakini uwepo wao haukuzuia awamu kubadilikaNa kwamba viapo vya mawaziri havija expire
Jibu hojaKichwani mwako zimetimia sawa sawa?